Ushauri CORONA (PREMIO)

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Wadau vipi hii gari je inauwezo wa kupiga masafa? (Mkoa mfano Dar iringa) vipi kuhusu spair zake? Inatumia injini aina ya 5A je sio sumbufu? Na inavuta mbele... speed mita inasoma 260. Mwenye kuijua vzr ushauri jamani kabla sijaingiaaa mfukoni.
 
5A ni engine kubwa na ina nguvu. Mafuta na mwendo vyote utapata. Hata suzuki swifty inaenda songea sembuse Iringa. Hayo magari madogo unayoyaona Songea na Mbeya yalipita hapo Iringa yakiendeshwa. Hayakubebwa kwenye magari.
So yes halina shida. Nunua.
Asante mkuu
 
Huu ushauri umekwenda shule
 
Daaah basi ngoja niwahi kutoa pesa jamaaa asije akagairi
Chichi ulijificha wapi aseee,nilikuwa nakufuatilia humu sikuoni toka ulivyotupia vile ambavyo ungejitambulisha darasani.saa unataka kuchukua mkoko! Hongera asee,wadogo zako wametelekezwa na marking NECTA siyo dili tena mama kafuta malipo.
 
thanx mkuu Maisha yanaendelea
 
5A ni engine kubwa na ina nguvu. Mafuta na mwendo vyote utapata. Hata suzuki swifty inaenda songea sembuse Iringa. Hayo magari madogo unayoyaona Songea na Mbeya yalipita hapo Iringa yakiendeshwa. Hayakubebwa kwenye magari.
So yes halina shida. Nunua.
Mkuu wewe ni mkufuzi..
 
Mbona gari IT zinatoka dar zinapita mbeya hadi kongo? Ile ni machine,hata pikipiki inafika popote icpokuwa porini,we nunua
 
20170522_223855-1.jpg
20170522_223820-1.jpg
Nauliza hizi gari kwanini zote upande wa kulia nyuma ubavuni mwa buti pamebonyea karibu kila Toyota premio new model why why why maana hata yangu pia na kila nikikuta premio nazitizama zina same mbonyeo
 
Back
Top Bottom