Ushauri: CHADEMA toeni tamko la kuwataka wabunge na madiwani wanaotaka kujiunga CHADEMA wasubiri mwaka 2020

Hili jambo mimi siliafiki kwani linaweza kuja kutugharimu mwaka 2020.Tuwe makini sana.

Kweli kabisa na kiwekwe kifungu kinachotaka mtu asipewe nafasi yoyote ya kugombea mpaka atimize miaka mitano ipite toka ajiunge. Yale mambo ya mtu kuja na kupewa nafasi ya kugombea kisha kuwaacha watu waliokipigania chama sio sawa. Zile lugha za kihuni za mwenyekiti eti kubadilisha gia angani uhuni ule tufike mahali tuseme inatosha. Unaipenda cdm, itumikie miaka 5 ndio upate nafasi ya kugombea, hutaki pita hivi.

2010-2015 Shibuda aliisumbua sana cdm tukadhani chama kimejifunza. Kufika 2015 chama ndio kikafanya blunder ya karne kwa kupokea mamluki toka ccm wakawapa na nafasi ya kugombea huku wakiwafumbia macho majemadari wake. Kibaya zaidi wakampa mzee toka ccm nafasi moja na nyeti kabisa mtu ambaye anasikia aibu hata kuvaa sare ya chama. Hivi cdm nani aliwaambia mabadiliko yanaletwa na wazee, tena wazee wenyewe toka ccm!!? Leo hii 90% ya wanaorudi kuunga juhudi ni matokeo ya gia ya angani. Jambo lile halivumiliki hata kwa utetezi wa biblia/Qoran.
 
Sisi tunashauri, maamuzi ni yao.

Uliongea ni kweli kabisa, ila ni ukweli pia Lowassa na Sumaye kuendelea kubaki CHADEMA ni jambo ambalo CCM hawalipendi na linawasumbua sana licha ya hisia/imani kuwa wako CHADEMA kwa kazi maalumu.
 
Nawashauri viongozi wa CHADEMA kujitofautosha na wale wa CCM kwa kuwashauri wabunge na madiwani wanaotaka kuhamia CHADEMA(kama wapo wenye nia hiyo) wasubiri mpaka mwaka wa 2020 ili kuokoa fedha zinazotumika kugharamia chaguzi ndogo.

Vile vile eleweni watu wa chama fulani huenda wameona biashara waliokuwa wanaifanya ni ya kijinga na sasa wanataka na nyinyi muonekane kama wao mbele ya umma na zaidi mshindwe kukosoa wanachokifanya kwani na nyinyi mtakuwa mnafanya kosa lilelile hivyo wanaweza kuwashawishi watu wao wahamie CHADEMA ili ku-balance equation (waliosoma Chemistry wanaeleea).

Jiulizeni ni nani wa kujiuzulu udiwani au ubunge alafu aje abaki raiwa wa kawaida tu huku akipoteza mishahara na kupunguza mafao yake?

Kuna uwezekano pia wa baadhi kuhamia CHADEMA leo hii alafu ikifika 2020 wakatangaza kujiuzulu huku wakitoa tuhuma mbalimbali kwa chama na viongozi kwa lengo la kutaka kukidhoofisha chama wakati wa uchaguzi.

Tafadhali tusifurahie wala kuendekeza haya mambo bali tuyakemee.
Mkuu wahamie CDM 2020 baada ya kukatwa CCM?
 
Nakubalina nawe kwa 100%.Itashangaza sana kuona CHADEMA nao wameingia kwenye UPUUZI huo huo wa kutapanya hela za walipa kodi.Pia watambuwe kuwa huo ni mtego tu kwao.NI WAHAMIAJI HARAMU HAO.
 
Nawashauri viongozi wa CHADEMA kujitofautosha na wale wa CCM kwa kuwashauri wabunge na madiwani wanaotaka kuhamia CHADEMA(kama wapo wenye nia hiyo) wasubiri mpaka mwaka wa 2020 ili kuokoa fedha zinazotumika kugharamia chaguzi ndogo.

Vile vile eleweni watu wa chama fulani huenda wameona biashara waliokuwa wanaifanya ni ya kijinga na sasa wanataka na nyinyi muonekane kama wao mbele ya umma na zaidi mshindwe kukosoa wanachokifanya kwani na nyinyi mtakuwa mnafanya kosa lilelile hivyo wanaweza kuwashawishi watu wao wahamie CHADEMA ili ku-balance equation (waliosoma Chemistry wanaeleea).

Jiulizeni ni nani wa kujiuzulu udiwani au ubunge alafu aje abaki raiwa wa kawaida tu huku akipoteza mishahara na kupunguza mafao yake?

Kuna uwezekano pia wa baadhi kuhamia CHADEMA leo hii alafu ikifika 2020 wakatangaza kujiuzulu huku wakitoa tuhuma mbalimbali kwa chama na viongozi kwa lengo la kutaka kukidhoofisha chama wakati wa uchaguzi.

Tafadhali tusifurahie wala kuendekeza haya mambo bali tuyakemee.
Mshauri Mbowe aache kuwafrustrate wapinzani wake wa ndani ili kuokoa gharama ya chaguzi za marudio
 
Back
Top Bottom