Ushauri: CHADEMA hamishieni makao makuu Mwanza/kanda ya ziwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: CHADEMA hamishieni makao makuu Mwanza/kanda ya ziwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saggy, Feb 27, 2011.

 1. s

  saggy Senior Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Napenda kukishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kufanya yafuatayo katika mfumo wa Utawala na sera za Chama ili kujiimarisha zaidi.

  1.Kuhamishia Makao makuu Mwanza/Musoma au Mkoa wowote Mwingine wa Kanda ya Ziwa/Arusha ili kugeuza Kanda hiyo kama kitovu cha "Vuguvugu la Mapinduzi ya Kizalendo! kwa Tanzania nzima.Nashauri

  2.Kuhamisha Wananchi wote wa Tanzania wote,bila kujali itikadi za Vyama vyao kuunga mkono "Vugu vugu la Mapinduzi ya Kizalendo" kwa Kufanya Mandamano Makubwa nchi Zima!

  3.Kutangaza Kuundwa kwa Taifa jipya la "Tanganyika" baada ya Mabadiliko ya Katiba yaliyuonda Taifa Jipya la Zanzibar.

  4.Kung'oa mamaluki ndani ya Chama cha Chadema,mnawajua WALE WAWILI si tunawajua wamepandikizwa pale,watoeani mapema!
   
Loading...