USHAURI: CHADEMA,CCM,CUF tumieni helkopta zenu sasa kuokoa maisha ya raia

Wana cdm tuingie mitaani tuokoe watu waliozingirwa na maji.mfano,kupitia Uhuru fm mama mmoja na mwanae walo juu ya paa tangu saa 12 hadi saa 7 mchana. Huku RC wa Dar na serikali wako katika kikao tangu asubuhi hadi saa 7.kikao hakiishi. Nimetuma sms kwa mh. Zitto,cdm tuchukue hatua.
watu hao watu watbkufa kwa njaa na baridi. Aidha,giza likiiogia watu hao hawataweza kuokolewa.
 
Unataka wajae Chadema? Dar sio Kilimanjaro wala Arusha...
Waambieni FFU watumie magari ya Maji ya washawasha kuokoa watu mkiambiwa mjiandae kwa matukio kama haya kununua Lifejackets nyie mnajiandaa kuzuia maandamano ya CDM kwa kununua mabomu ya machazi shame on you all.
 
Pouwa tu kama serikali itawalipa warushe chopa waokoe wananchi!

BTW jeshi hawana?

Ama dhumuni lako ni siasa?
 
Helikopta sio baiskeli kuna procedure zake. (1) helikopta ya kuokoa ina vifaa vyake maalum na sio kila kampuni inayokodisha helikopta inavyo hivyo vifaa. Vilevile lazima uwe na mtaalam wa kutumia hivyo vifaa.

(2) Huwezi kupata kibali kutoka serikalini ya kuingiza helikopta kuokoa watu kama huna hivyo vifaa na huyo mataalam.

(3) Process ya kupata kibali cha helikopta ya kawaida inaweza kuchukua hata wiki moja.
(4) Chama cha siasa hakiwezi kupata kibali cha kuingiza helikopta nchini kufanya shughuli ambazo hazihusiani moja kwa moja na siasa.
(5) Kuna logistics za kurusha helikopta ambazo nazo zinahitaji muda. Watu wanaoweza kurusha helikopta bila hivyo vikwazo ni polisi na jeshi peke yake. Kusema vyama vya siasa vijihusishe na huu uokoaji kwa kutumia helikopta ni hoja nyepesi isiyokuwa na mshiko.

NO research No right to speak. Leteni hoja zenye tija. Kama kweli una nia ya kutaka kuwaokoa hawa watu kwanza tuambie wewe binafsi umeshafanya nini zaidi ya kudonoadonoa keyboard ya kompyuta yako?

BoldBlack:
KTY(Kwa taarifa yako), mimi sio aina ya watu ambao akitoa msaada kwa jirani(hata kama kampatia 'chumvi') atatangaza mtaa mzima ili watu wajue kuwa katoa msaada.

Hivi hauwezi kuchangia mada ambayo haijakufurahisha bila kutumia maneno ya kebehi?
 
Hali ni mbaya sana katika maeneo mengi nchini ambayo mvua inanyesha kwa sasa. Kwa maeneo ya Dar-es-salaam Kigogo, Jangwani, Mkwajuni hali inatisha kwa mujibu vituo vya redio Dar. Maisha ya raia yako hatarini.

Ushauri wangu, vyama vya siasa ambavyo vilitumia helkopta kufanya kampeni katika chaguzi zilizopita(CHADEMA,CCM,CUF) , zitumie helkopta hizo sasa kuokoa maisha ya raia. Helkopta hizo sidhani ni kama ni kwa ajiri ya kampeni tu wakati raia ambao wanawapigia kura wako katika hatari ya kupoteza maisha. Raia hatutawelewa kama mtashindwa kuchukua hatua katika hili.

kwani kuna uchaguzi?? nyie si huwa mnasema pipozi pawa....subirini. CUF mpaka mtatiro apewe fedha na NEC yao, chadema mpaka mbowe akubali atalipwa deni!
 
Watu wanakufa halafu unasema hoja nyepesi? Wewe kwako hoja nzito ni maandamano tu

chama kilichoshinda ndo chatakiwa kuwa na sera ya mambo ya dharura na uokozi ambayo kimeileta kwa wananchi ili kipigiwe kura. kama nyie magamba hamna hiyo sera basi ndo hivyo wananchi wanakufa. chama chenu kinahusika na mambo ya uokozi wa wananchi ktk majanga km hayo.
 
Back
Top Bottom