Ushauri : CCM mpeni mrema uwaziri kivuli upinzani wakiingia madarakani 2015

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Nimetoa ushauri huo kwa sababu Mrema mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo amejitahidi sana kuitetea CCM katika mijadala mingi ndani na nje ya bunge kama fadhila yake kwa mafao ya unaibu waziri mkuu pamoja na marupurupu mengine ya serikali ya CCM. Na kwa hali iliyopo kisiasa kuna kila dalili CCM kuzidiwa spidi ambapo mwaka 2015 kitakuwa chama cha upinzani kwa hiyo msije mkamsahau mzee huyu kama atabahatika kushinda ubunge tena.
 
amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Ushauri wako ni mzuri sana, CCM wajiandae kisaikolojia kuwa cha cha upinzani.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,151
2,000
Ni ushauri mzuri ila Mrema, Cheyo na Ndesamburo wote ni "spent force" wamefikia muda wa kujipumzikia kwa amani!, naamini baada ya kuhitimisha bunge hili, hawatathubutu hata kuchukua fomu!.

Pasco
 
amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Ni ushauri mzuri ila Mrema, Cheyo na Ndesamburo wote ni "spent force" wamefikia muda wa kujipumzikia kwa amani!, naamini baada ya kuhitimisha bunge hili, hawatathubutu hata kuchukua fomu!.

Pasco
Kama atapumzika sawa ila akibadili maamuzi na kugombea tena msimsahau
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,938
2,000
Nimetoa ushauri huo kwa sababu Mrema mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo amejitahidi sana kuitetea CCM katika mijadala mingi ndani na nje ya bunge kama fadhila yake kwa mafao ya unaibu waziri mkuu pamoja na marupurupu mengine ya serikali ya CCM. Na kwa hali iliyopo kisiasa kuna kila dalili CCM kuzidiwa spidi ambapo mwaka 2015 kitakuwa chama cha upinzani kwa hiyo msije mkamsahau mzee huyu kama atabahatika kushinda ubunge tena.
Mkuu Acha kupotosha, Mzee Mrema haitetei CCM bali anatetea ukweli. Huyu Mzee CHADEMA hamuwezi kumburuza buruza kama mnavyotaka, kwani ana misimamo yake, na hayumbishwi kama bendera inayofuata upepo.
 
MPANDA Jr

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,298
1,195
Ni ushauri mzuri ila Mrema, Cheyo na Ndesamburo wote ni "spent force" wamefikia muda wa kujipumzikia kwa amani!, naamini baada ya kuhitimisha bunge hili, hawatathubutu hata kuchukua fomu!.

Pasco

Na ma.mvi je?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,375

Topic hapa ni LYATONGA MREMA , hayo mengine umeongeza wewe .
 
Daniel M J

Member
Dec 8, 2012
83
95
Nimetoa ushauri huo kwa sababu Mrema mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo amejitahidi sana kuitetea CCM katika mijadala mingi ndani na nje ya bunge kama fadhila yake kwa mafao ya unaibu waziri mkuu pamoja na marupurupu mengine ya serikali ya CCM. Na kwa hali iliyopo kisiasa kuna kila dalili CCM kuzidiwa spidi ambapo mwaka 2015 kitakuwa chama cha upinzani kwa hiyo msije mkamsahau mzee huyu kama atabahatika kushinda ubunge tena.

braza, nadhani unatamani kuona wapinzani wakiingia magogoni, lakini sijui kama umetathmini vya kutosha kama upinzani utafanikiwa, maana stratergy za magogoni ni kali na sidhani kama ni rahisi as unavyotamani
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,375
2,000
Mkuu Acha kupotosha, Mzee Mrema haitetei CCM bali anatetea ukweli. Huyu Mzee CHADEMA hamuwezi kumburuza buruza kama mnavyotaka, kwani ana misimamo yake, na hayumbishwi kama bendera inayofuata upepo.

MREMA NI KIBARAKA wa ccm , HATA MWANANGU WA MIEZI 6 ANAFAHAMU .
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,375
2,000
braza, nadhani unatamani kuona wapinzani wakiingia magogoni, lakini sijui kama umetathmini vya kutosha kama upinzani utafanikiwa, maana stratergy za magogoni ni kali na sidhani kama ni rahisi as unavyotamani

SISI WANANCHI ndio TUMEAMUA KUIONDOA CCM 2015 , NA NDIVYO ITAKAVYOKUWA .
 
Daniel M J

Member
Dec 8, 2012
83
95
eee bhana eee ! Mbona uko nyuma sana mkuu ? CCM IS AGAINST THE NATION , WARIOBA NI SHAHIDI , UNATAKA NINI TENA ?

eeeeh taratibu mkuu, usije kuanza ugomvi bure, wacha me nicheki UEFA final, maana kama unashindwa kuvumilia maswali ya kawaida kama haya basi yale magumu utarusha ngumi.
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,524
2,000
Wengi tunapenda upinzani waingie madarakani mwaka 2015, tatizo hawaingii vijijini, wanaishia kufanya mikutano mijini tu! Waige mfano wa kinana wa mainterahamwe anapiga mikutano mpaka vijijini!
 
Myakubanga

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,843
2,000
Hahahahahahahaaaaaa....
Hivi kuna watu seriously wanaamini mwakani upinzani unachukua nchi?
Ni kujitoa ufahamu na kujidai hatujui kinachoendelea
 
hexacyanoferrate

JF-Expert Member
May 15, 2014
1,222
2,000
braza, nadhani unatamani kuona wapinzani wakiingia magogoni, lakini sijui kama umetathmini vya kutosha kama upinzani utafanikiwa, maana stratergy za magogoni ni kali na sidhani kama ni rahisi as unavyotamani

Kwenda magogoni inawezekana,cha msingi ni kuwa na tume huru ya uchaguzi,hii ndiyo inayiwaangusha upinzani,hebu fikiria wakurugenzi wote wa uchaguzi ni ccm,unategemea nini?mahali ambapo unaona upinzani wameshinda ni kuwa wanaachia tu makusudi ili ionekane kana kwamba kuna demokrasia lakini kiukweli hakuna demokrasia yoyote kwenye uchaguzi ikiwa tume ya uchaguzi ni ya ccm tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom