Ushauri: Binti yangu kapata matokeo yafuatayo mtihani wa kidato cha sita 2019

dikir kab can

JF-Expert Member
Mar 20, 2018
923
940
Habari zenu waungwana,

Binti yangu kapata matokeo matokeo yafuatayo mtihani wa kidato cha sita 2019:

Physics C
Chemistry C
Biology B
Basic Applied Maths B
General Studies D

Naomba ushauri wa course za afya ambazo anaweza kuomba na kupata.

Ahsante.

nyabubu
 
Zungukia website ya MUHAS then aombe kozi zote anazoqualify. Lakini kwa ufaulu huo naona hata Medicine anaweza kupata unless sina taarifa kamili juu ya ufaulu wa mwaka huu combination ya PCB
 
Back
Top Bottom