Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

fungua Imaging clinics,nunua ultrasound machine na xray machine kwa kuanzia,ajili mtaalamu mzuri umpe hata mshahara wa milioni kwa kuanzia uanze kupiga pesa,unaweza kuongeza na huduma za vipimo vingine vya kawaida kama malaria,typhod,kisukari etc,baada ya miaka mitano utafunga CT scan na hapo ndo utakua umeuaga umasikini
 
Gharama ya hizo vifaa unazifahamu?
Na je Kuna gharama gani zingine za ziada kwenye hyo biashara?
 
Do you want to start an
imaging clinic offering
Ultrasound and X-Ray Services,
even if you don't have a
medical background? Then
get this 53 page guide which contains:
Overview and Trends
Reasons For Rise In Number of
Imaging Clinics
Reasons For Increase In Demand for
Imaging Services
Types of Set Ups
Types of Imaging Services
Ultrasound
X- Ray Services
CT Scan
MRI Scan
Equipment
Overview
Ultrasound Equipment
Parts of an Ultrasound
Factors To Consider When
Purchasing
Checklist
Cost
Xray Equipment
Main Parts
Factors To Consider When
Purchasing
Pricing
Equipment Suppliers
Licenses
Premises
Operations
Opening and Closing
Receiving Patients
Screening The Patient
Payment
Preparing the Patient
Imaging the Patient
Issuing Results (Image)
Interpretation of the Results
Reconciliation
Maintenance
Revenue And Margins
Overview and Pricing
Case Study
Expenses
Breakeven and Payback
Competition
Overview
Differentiation
Manpower
Much more
OFFER : Get this guide @ Kshs.599 or
better still enjoy our offer of 65 guides @
Kshs.999 instead of Kshs.1999. Valid
today.
Kindly make payment via Lipa na Mpesa -
Buy Goods & Services - Till no.876313.
( Crack A Business Kenya )
On payment text us your email address
to 0712 473 455. We will deliver within
15 minutes.
www.kenyaknowhow.com/2018/11/ultrasound-x-ray-imaging-clinic.html?m=1
 
Kwa mtaji wa 15m ukianzisha duka la spare za magari hio 3m kwa mwezi hata huumizi kichwa. Ila kuwa tofauti na wauzaji wengine,dont be just like everybody else. Kuwa tofauti. I'm talking from experience.

Hiyo ni faida au mauzo kaka???
 
fungua Imaging clinics,nunua ultrasound machine na xray machine kwa kuanzia,ajili mtaalamu mzuri umpe hata mshahara wa milioni kwa kuanzia uanze kupiga pesa,unaweza kuongeza na huduma za vipimo vingine vya kawaida kama malaria,typhod,kisukari etc,baada ya miaka mitano utafunga CT scan na hapo ndo utakua umeuaga umasikini
Hivo vipimo wagonjwa wanafanya wakiandikiwa na Dr, na kawaida huko wanakoandikiwa hizo mashine ZIPO. Sasa utapateje wateja Kama yako sio dispensary au hospital kabisa??
 
Hizi machine bei gani?
 
Hivo vipimo wagonjwa wanafanya wakiandikiwa na Dr, na kawaida huko wanakoandikiwa hizo mashine ZIPO. Sasa utapateje wateja Kama yako sio dispensary au hospital kabisa??
Ushapasikia Besta? Iko Tunisia road Kinondoni,kazi yao ni hivyo vipimo tu,watu wanatoka hospital nyingine wanakuja kupima hapo
 
@PRONTO,nishakuwekea link ya huyo jamaa mkenya anauza guideline kwa bei nafuu mno,humo utapata maelezo ya bei mpaka namna ya kuenenda na masuplier,japo imeandikwa kwa kubase kenya lakini material yaliyomo yatakupa idea kubwa
 
Boss X-RAY machine au ultrasound bei yake inaendana na huu Uzi?
 
mh naona post zinapotea tu,ok ultrasound kuanzia euro 5000 unapata,sasa sijui kama hivi vifaa vina ushuru wa forodha ama la,xray bado sina bei yake
 
nipo nyumba ya Mungu nafanya biashara ya samaki wakubwa ila nataka nije huko niangalie na kamba /pronze
hizi hapa
IMG_20190522_102412.jpeg
IMG_20190522_102409.jpeg
 
mm ni kijana nipo chuo mwaka wa kwanza ila nahitaji kutoka kimaisha ila nna mtaji kdg nifanye nn ili nifanikiwe kimaisha
 
Back
Top Bottom