Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Profiti ni Malipo ya Mjasiriamali baada ya kuwa amatatua changamoto au ammemtatulia mtu changamoto

Mkuu badala ya kuwaza profit waza wewe unataka kutatua changamoto ipi?

Huwezi pata profiti kama yakuna unacho solve labda kama biashara haramu
Umenipa changamoto,ngoja nitulize kichwa nicheki changamoto nayoiweza
 
Kwa mtaji wa 15m ukianzisha duka la spare za magari hio 3m kwa mwezi hata huumizi kichwa. Ila kuwa tofauti na wauzaji wengine,dont be just like everybody else. Kuwa tofauti. I'm talking from experience.
Mkuu hebu nipe abc za hii 'biznaa' nitupie jokeri lote hapo hasa kwa mtu ambae si fundi au mzoefu sana wa hii biashara ya spea za magari lakini kamtaji kanapatikana hata li jokeri i.e hamsa milioni(30-50). Nashukuru kwaa kugawa hayo madini.
 
Nunua bangi na mirungi uuze kwa trip moja unapiga faida ya milion 5mpaka 7 kwa mtaji wa milion moja hio ni mara moja kwa mwezi......

Ukienda mara 10 kwa mwezi una milioni 50 mpaka 60 ukitoa na ya polis kidogo
 
Mkuu hebu nipe abc za hii 'biznaa' nitupie jokeri lote hapo hasa kwa mtu ambae si fundi au mzoefu sana wa hii biashara ya spea za magari lakini kamtaji kanapatikana hata li jokeri i.e hamsa milioni(30-50). Nashukuru kwaa kugawa hayo madini.
Kitu gani unataka kujua?
 
Fanya biashara ya samaki kambakochi nunua 5000kg kisiju/mafia uza 13000-18000 kkoo
Kuna mtu kaniambia hii biashara ni nzuri! Yeye anauza kwa Wachina! Ameniambia hata Samaki wanaouzwa pale Feri Kigamboni baadhi wanatoka Mafia. Sijui Kama ni kweli
 
Kitu gani unataka kujua?
Meengi tu, kwa kuanzia
- jinsi ya kuwa tofauti na wengine
- je bidhaa ni za kuaagiza au unanunua kwa wauzaji wakubwa hapahapa?
-vp kuhusu masoko kuna namna yeyote ya kupata au nikufungua tu shop nakusubiria wateja
- aina ya bidhaa, je ni kustock vipuri pendwa vya akina toyota/nissn au kuna namna ya kuspecialize?
- mna manage vp stock, maana ni vitu vidogoviddogo lkn vingi sana
- changamoto ni zipi?
 
1. Jinsi ya kuwa tofauti-just be professional,wauza spare wengi sio professional. Jinsi utakavyoongea na wateja wataona tofauti yako wewe na wauzaji wengine.
2.Bidhaa unaweza kuagiza au kununua hapa kwa wholesalers wa hapa(kwa toyota,nissan) inategemea na target yako
3.Masoko ndio unatakiwa ujiongeze, online kama insta,fb,jf. Unaweza kuwafuata mwenyewe kwenye established garages,unaweza hata ku-approach individauls. Ukikaa location zenye mzunguko na garage wateja watakuja pia.
4.Toyota ndio zina wateja wengi, unaweka mkazo kwenye parts za kila siku service parts,brakes na suspension parts
5.Unaweka inventory system na stock taking mara kwa mara
6.Changamoto zile zile kama biashara yoyote ile. Ukifanikiwa kukamata soko, changamoto nyingine sio issue. Kama huuzi ndio issue.
 
Back
Top Bottom