Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Biashara chache Sana Au hamna kabisa Zenye unataka upate Kama unavotaka.biashara nyingi ni long-term ndio unaweza ona faida, ukapanda polepole na profit ikawa inaongezeka kutokana na jitihada zako binafsi. Elewa pia unaweza wakeza mill 15 at the end ukapata hasara. Hiyo ndio biashara.
 
Vipi kuhusu biashara za transactions Kama wakala wa miamala ya kampuni za simu,benki,malipo mbalimbali ,Luku,bima na microfinance kinyemela?
 
Anzisha dangulo) By the way biashara yenye predictability kama unayoitaka haipo utaishia jela, mgonjwa ya moyo au kutopelekwa.
Habari wandugu
Kwa wajuzi wa biashara msaada wa mawazo kuhusu aina za biashara na uwezekano wa kupata faida kama nilivyozianisha hapo juu kwa kila mtaji
 
Habari wandugu
Kwa wajuzi wa biashara msaada wa mawazo kuhusu aina za biashara na uwezekano wa kupata faida kama nilivyozianisha hapo juu kwa kila mtaji
Kwa mtaji wa 15m ukianzisha duka la spare za magari hio 3m kwa mwezi hata huumizi kichwa. Ila kuwa tofauti na wauzaji wengine,dont be just like everybody else. Kuwa tofauti. I'm talking from experience.
 
kuna lundo la maduka kariakoo yana mtaji kuanzia mil 25 mpaka 50 hayapati hiyo faida kwa mwezi, hapo ni baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji wa duka mfano kodi zote za serikali, wafanyakazi, bill za umeme na maji n.k.
 
Duu mkuu mbona unanitisha,ntafikia turnover ya mln 100 by 2025 kwa staili hiyo?may be huko yamelundikana sana
 
Biashara haiendi kihivyo Kwa hesabu zako za kwenye calculator unaweza kuweka mtaji ukamezwa wote au ukapata faida kidogo au usipate kabisa
Matokeo hayaji Mara moja anachukua muda Fulani
Usije ukaingia kichwakichwa
Tahadhari muhimu
 
Profiti ni Malipo ya Mjasiriamali baada ya kuwa amatatua changamoto au ammemtatulia mtu changamoto

Mkuu badala ya kuwaza profit waza wewe unataka kutatua changamoto ipi?

Huwezi pata profiti kama yakuna unacho solve labda kama biashara haramu
Habari wandugu
Kwa wajuzi wa biashara msaada wa mawazo kuhusu aina za biashara na uwezekano wa kupata faida kama nilivyozianisha hapo juu kwa kila mtaji
 
Back
Top Bottom