kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,611
Biashara chache Sana Au hamna kabisa Zenye unataka upate Kama unavotaka.biashara nyingi ni long-term ndio unaweza ona faida, ukapanda polepole na profit ikawa inaongezeka kutokana na jitihada zako binafsi. Elewa pia unaweza wakeza mill 15 at the end ukapata hasara. Hiyo ndio biashara.