Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

Wakuu habari za wakati huu
Nataka kuanza kufanya biashara ya Laundromat..naomba msaada wenu wa kimawazo hasa ...what to do and what not to do...

What i did: nimefanya udadisi kuhusu bei za mashine na ninazo data za kutosha...

Nahitaji ushauri na mawazo au hints muhimu while going into this business...

Pia ningependa kujua location nzuri ni maeneo gan?
 
Wazo zuri sana. First time kuona Laundromat 2008 huko Adelphi Maryland akili iliniruka. Nilifikiri wazo zuri sana la biashara back home, lakini sikuona fursa yeyote ya mtaji. kwa hakika bachelors wengi watapata nafuu ya majukumu na sio wao tu, hata wale wanaofua kwa bei kubwa dry cleaner.

Jaribu kutafiti maeneo karibu na HOSTELS vya vyuo vya elimu ya juu. Lakini zingatia pia hali ya uchumi kwa sasa, maana individual purchasing power imedrop badly, isije huduma hii muhimu ikaonekana ni jambo la kifahari.

Nakutakia kila la heri.
 
Asante kiongozi. Niko mbioni kufungua though nahitaji sana mawazo na technical know how za dry cleaning.
 
Asante kiongozi. Niko mbioni kufungua though nahitaji sana mawazo na technical know how za dry cleaning.
You know what sir, sometimes kuwa mtongozaji maendeleo. Nenda (kwa mfano) pale Lufungila kuna ile 4U Dry Cleaner, mtoe out yule mrembo pale reception, then utaamua...uue ndege mmoja au wawili kwa jiwe moja.
 
Ndugu wadau, mimi ni mtumishi wa serikali kada ya auxiliary police nataka kufanya biashara ya udobi kwa kutumia mashine kama kuna mwenye kujua changamoto zake na faida zake msaada pls.
 
Mkuu pole sana kwanza. Naona hii mada umeileta tangu jana lakini haijapata wachangiaji.
Next time ukileta mada yako hakikisha hausemi kama wewe ni polisi .
Nahisi jina "polisi " ndo limekuhalibia kila kitu.
 
Mkuu pole sana kwanza. Naona hii mada umeileta tangu jana lakini haijapata wachangiaji.

Next time ukileta mada yako hakikisha hausemi kama wewe ni polisi.
Nahisi jina "polisi " ndo limekuhalibia kila kitu.
Kama observation yako ni valid mkuu Basi tumefika pabaya sana.
 
Ndugu kwa ushauri wangu ,leta mada lakini haina haja ya kuweka cheo au unafanya kazi au la. Mimi ningechangia ila sina uzoefu na hiyo biashara. Kipindi fulani nilitaka kuianzisha kumsaidia shemeji yangu na alitakiwa aende kusoma chuo kimoja Nairobi short course ya miezi 3 ndo aje aanze.Akadai huko aliko zipo nyingi na anahisi hazilipi, lakini hiyo ni idea ya layman. Kwa ushauri wangu angalia mazingira uliopo, kama watu wanavaa sana suit, na uweke na normal washing maana bachelors wengi wavivu kujifulia.

Pia Angalia bei zako kama zinaweza kuleta ushindani, then ufungue kila biashara ukiianza ndo utajua changamoto zake. Wengi tunashindwa kwa sababu mengine tunachukulia kama msahafu au biblia hatutaki vibadilike, we angalia location kama kuna wateja wa kutosha then uanze. Ila unaweza kufungua point of sales tofauti tofauti huku ukitumia mitambo ilioko eneo moja ,unatakiwa kuwa na gari ya kukusanya na kusambaza /kurudisha kwenye POS zako
 
Habari wakuu,

Nataka kuanzisha biashara yakufua nguo kwa mashine (dry cleaner) Naomba mwenye uzoefu wa hii biashara anipe maufundi kidogo yavitu kama, mtaji, faida naipaje pamoja na changamoto zake.

Shukrani.
 
Ni biashara iliyokuja kwa kasi katika mikoa mingi nchini.

Ufuaji wa nguo kwa mashine umeanza kutumika kwa kiwango kikubwa sana.

Mtaji:
~Mashine ya kufulia
~Chumba/flrame
~Maji/ ni nzuri mita iwe yako
~Umeme/ ni bora zaidi mita iwe yako.

Thubutu anza hutojutia uwekezaji huu
 
Back
Top Bottom