Ushauri: Bado miezi 3 ya harusi, mpenzi wangu ananiambia hanitaki tuachane

The oris

Member
Jan 4, 2017
91
167
Wakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki .
Siwezi kuelezea ..amesema amepata mwanaume mwingine zaidi yangu

Nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo.

Nimetoka nae mbali sana almost 5yrs ya mahusiano, Naona kama ndoto hakuna baya nililomfanyia

Wanawake kwanini mnakuwa hivi au tamaa
 
Pole sna mkuu,jitaid kusahau huendakuna zaid ya harus unaenda kupata mbele
 
Wakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki .
siwezi kuelezea ..amesema amepata mwingine zaidi yangu
nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo.
Nimetoka nae mbali sana almost 5yrs ya mahusiano
Naona kama ndoto hakuna baya nililomfanyia
Achana naye kama kasema akiwa na akili timamu maana hata akiulizwa sababu hawezi kukosa la kujibu, kusuluhisha ni kulazimisha na ukilazimisha NDOA utajuta mara elfu na maumivu zaidi ya unayopata sasa. Ila na wewe bila shaka lipo ulilotenda ila hujaliona kuwa ni kosa.
 
Wakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki .
siwezi kuelezea ..amesema amepata mwanaume mwingine zaidi yangu
nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo.
Nimetoka nae mbali sana almost 5yrs ya mahusiano
Naona kama ndoto hakuna baya nililomfanyia

Achana naye, usimfuate na wala usiwasiliane naye, labda mkukutana msalimie tu halafu endelea na hamsini zako. Utapata mwingine, mapenzi siyo ya kulazimisha.
 
Wakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki .
siwezi kuelezea ..amesema amepata mwanaume mwingine zaidi yangu
nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo.
Nimetoka nae mbali sana almost 5yrs ya mahusiano
Naona kama ndoto hakuna baya nililomfanyia
Wanawake kwanini mnakuwa hivi au tamaa

Pole sna.
jikaze kizee achana naye ni bora maumiv utakayoyapata kpind hki kwa kumkosa umtakaye kuliko mateso utakayokujapata baadae endapo utalazimisha kumuoa
kamwe usijaribu kuowa mwanamke adiyekupenda au mwenye kinyonho naww
 
Shukuru Mungu kakuepushia balaa hilo ni heli uchumba uvunjike kuliko ndoa yenye mateso kubaliana tu na hali mwache aende atashtuka kumeshakucha tafuta mkali zaidi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom