ushauri au tiba

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
shaloom,

aisee mimi nina tatizo la kinywa, yani kila nikitaka kuswaki nahisi kutapika, nikilazimisha badala ya kutema mate ya kawaida natoa makohozi mengi. nshabadilisha miswaki mingi lakini sioni changes. Afu lingine, nina mafua si mafua maana siyaelewi coz hayaponi, haijalishi niko kwenye sehemu za joto au baridi. napata shida coz muda wote inabidi nifyonze makamasi puani afu niyameze. doctor this real makes me tired.

your sincerly
Emmanuel
 
WE UMEKAA KAA KAMA KILAZA VILE! MANENO MENGINE YANATIA KICHEFUCHEFU!!
INAONESHA HAUKO SERIOUS.
Ushauri wangu nenda Hospital ukafanyiwe vipimo, naamini utapata tiba unayostahili.
 
Sasa mchana kutwa unameza makamasi, asubuhi unayatoa kama makohozi. What else do you want? Kuhusu mafua yasiyoisha, nenda hospitali onana na ENT atakushauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom