Ushauri : ANC iondolewe madarakani kwa kulea na kuuchekea ubaguzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,643
218,099
AFRIKA KUSINI _ 60 WAKAMATWA KWA KUPORA MALI ZA WAGENI  Jeshi la Polisi nchini A.jpg


Hii ndio njia pekee ya kudhibiti na kuondoa kabisa ubaguzi na mauaji ya wageni nchini Africa kusini , kabla ya kuendelea naomba kukiri kwamba mimi binafsi nina masilahi na yanayoendelea S.Afrca maana mimi nina vitega uchumi kwenye nchi ile japo kwa kushirikiana na wazawa .

Viongozi wa nchi ya South Africa wanaotokana na ANC wamelea kwa miaka mingi sana uchafu huu , bado haifahamiki sababu hasa za kulea jambo hili , bali wadau wengi wanaamini kwamba ulezi huu ni mkakati wa kisiasa , ni njia ya kujaribu kutowaudhi waafrica wengi wa nchini humo ili waendelee kushinda chaguzi , ni mkakati wa kishamba sana wenye gharama kubwa sana kwa ndani na nje ya nchi .

Kuna haja kubwa sana kwa wadau wapenda haki kuungana na kuiondoa ANC kwa nguvu ama kwa kura ili kudhibiti wahuni hawa wanaolindwa .

#Say No to Xenophobia
 
Haiwezekani yote haya kufanyika bila hata vyombo vya dola kuchukua hatua za maana , iko namna
 
Back
Top Bottom