Ushauri: Ananilazimisha nimpe mimba

Isaack Newton

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
535
224
Habari wakuu,

Nina girl friend nimemaliza nae form six amekuwa akiniambia kila siku kuwa anapenda sana mtoto hivyo anataka nimpe mimba ili akiwa maisha ya chuo anataka awe na mtoto na kwao huyu dada wana hela ile mbaya.

Halafu katika familia yao yeye ndio first born na last born, sasa hapa najifikiria nimpe mimba kweli? Maana mambo yanabadilika na ananipenda kufa maana nilianza mapenzi nae toka form two mpaka leo.

Ushauri jamani
 
Wewe unajisikiaje rohoni mwako? Ina maana ushauri wa hapa unawexa kukufanya uchukue maamuz?
Nakushauri usimpe
 
Mambo kama hayo huwa natoa msaada mwenzenu hebu kama uwezo wa kumpa mimba huna lete nikusaidie kiroho safi
 
Watu kama ninyi ndio mnaoenda vyuo kwa bahati mbaya...

Mwanaume mwenye akili timamu na anayejielewa hawezi kuuliza swali la kijinga kama lako...

Unatuuliza habari za kugawa mimba au kutokugawa kwani wewe ni jogoo la kuazima?
 
Jk alisema mwaka huu tunavuna BRN kama laki kadhaa kama ndiyo hizi basi tz hatuna jinsi!
 
Habari wakuu,

Nina girl friend nimemaliza nae form six amekuwa akiniambia kila siku kuwa anapenda sana mtoto hivyo anataka nimpe mimba ili akiwa maisha ya chuo anataka awe na mtoto na kwao huyu dada wana hela ile mbaya.

Ushauri jamani

49295790.jpg
 
Eti analazimisha kwani kama anataka mimba ni mpaka akuambie mbona kazi rahisi sana kupata hyo mimba.

kingine ina maana wew hadi upigwe ngumi ndo unatoa nguvu za kiume au? maana kama uko vizur angeshategesha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom