shukran sana kwa kunitia moyo mola akulipe kwa hiloMdogo wangu pole sana kuwa na ujasiri kuwa hayo utayasahau kabisa. Omba Mungu, fanya ibada na kuwa karibu na watu wa dini. Pia unatakiwa upate matibabu ya kisaikolojia kabla ya kuanza mahusiano na msichana
Kila mtu atapata wa kufanana naye, usijali utampata bikira kama nawe pia uko hivyo.ndo maana mimi natafuta bikira mariam hizi za kuokota okota mi sipendi ila basi tuuu hamna namna.
sina cha kukushauri ila angalia mke wa mtu ujue unatembea na bomu shauri yako
asante mkuuKaa mshauriane na huyo mzazi mwenzako, ilimradi msihribiane kwenye ndoa zenu
Kila mtu atapata wa kufanana naye, usijali utampata bikira kama nawe pia uko hivyo.