AUTOCATALYST
Member
- May 27, 2015
- 69
- 16
- Thread starter
- #81
Ahsante mkuuKwanza kubali matokeo,,unajua umekuja kuomba ushauri sababu hujakubali matokeo, ukisbakubali matokeo ishi kwa juhud zaid ya chochote unachofanya,weka akil yako na umfanye kama rafik yako wa kawaida sio km mpenz tena,,akishaona kwamba huna time nae atajiona amekushinda sasa we geuza kibao kwa kumkumbusha matukio yake muhim kama birthday,,au km ni mkristo mkumbushe muwah kanisn,au km muislam mkumbushe kuswal na kufunga,msaidie hata bila yy kukuomba huo msaada, km mpo chuo jitahid kumjali hata kwa salam tu Mara kwa Mara baade atageuka,ila ONYO HAPA,, usimwombe mrudiane mwambie tu bado upo moyon mwang kila siku....mwambie tu pamoja na kuniblock kila mahal kuna sehem umeshau,,akiuliza WAP mwambie MOYON MWANGU....