Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ukwelinasema

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
364
380
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.

Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni JF na maisha yameendelea kwa mahaba na bashasha kemkem chaajabu bibie kagundua BwanaJF ana account nyingine tofauti na waliyopatiana na anaendeleza kuwalamba alolo mabinti wa JF kama kawaida.

Nimeombwa ushauri na me nikaamua kulileta humu labda naweza nikapata chakuongezea kwenye kumshauri

Note:
Bibi JF ni mke mtarajiwa + mjamzito wa Bwana JF.

images.jpg
 
Inabidi jf baraza la wazee tukae kikao cha haraka sana maana haiwezekani akuchezee member mwenzetu.

 
Kumbe watu wanalambana kweli humu. Subiri na mimi nianze kuwinda demu wa kumlamba. Ila ujinga wa haya mambo ya majina ya uongo unaweza panga miadi kufika guest anaingia mkeo umlambe.
Wanalambika sana ...ila nilishajaribu mkuu mara kadhaa ila sijawahi pata pisi ya maana nikaamua kukata tamaa kabisa...nyingine niliamua kuzikimbia kabla hatujakutana live...zimekaa hovyo sana au nilikuwa na bahati mbaya sijui
 


Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.

Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni Jf na maisha yameendelea kwa mahaba na bashasha kemkem chaajabu bibie kagundua Bwanajf ana account nyingine tofauti na waliyopatiana na anaendeleza kuwalamba alolo mabinti wa jf kama kawaida.

Nimeombwa ushauri na me nikaamua kulileta humu labda naweza nikapata chakuongezea kwenye kumshauri

Note,
Bibi jf ni mke mtarajiwa + mjamzito wa Bwana Jf.View attachment 1998429
 
Back
Top Bottom