Ushauri: Aliniambia hanipendi anani 'enjoy', sasa katuma SMS anaumwa

Uyu kama alikwambia hakupendi nikweli hakupendi wewe cha kufanya muache aendelee kuku enjoy mwisho wasi atajuta mwenyewe
 
Alikuwa ana test msimamo wako.
Kuona kama bado wewe ni mlaini kwake. Oyesha msimamo kwamba hakubabaishi wala nn...
hawa viumbe ndio walivyo.. wanapenda kujarib watu
 
Ushawahi kujaribu??
Ndio ishanitokea mara nyingi tu
Mtu anajifanya mume wa mtu afu anataka asugue gaga
Wengine mlikuwa mabesti tu wakaoa mkikutana wanataka umpe mchezo kirahisi rahisi tu
Wengine majirani tu Wana familia wanataka kukuchezea game of love lol
Akili kumkichwa hapo ukilegea tu watu wanachambua kama karanga
 
Pole sana.. Basi utakuwa ushakomaa kichwani... Experience is the best teacher...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom