Naikuru
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 189
- 266
Kuna dada mmoja ambaye ameolewa na ana watoto wawili tayari, ameitwa kazini kwenye moja ya taasisi za fedha.Hofu yake ni kwamba anaenda kujaza mkataba wakati tayari ana ujauzito wa mwezi mmoja.
Je ujauzito wake hautaleta shida mara baada ya pregnancy complications kuanza? Na je kuna sheria itamlinda na hali yake aliyonayo?
Nawasilisha..
Je ujauzito wake hautaleta shida mara baada ya pregnancy complications kuanza? Na je kuna sheria itamlinda na hali yake aliyonayo?
Nawasilisha..