AC mpya ya 1HP split type (kwa ajili ya chumba kimoko 3m x 3m) inakomba unit 3.5 - 4 kwa siku (used mpaka 6 / siku) , kumbuka AC izo zina motor kubwa 3, motor ya compressor (outdoor), ya condenser(outdoor) na ya blower(indoor) , na zingine ndogo 2 (stepper motors), kwa ajili ya kufunga na kufungua zile vent bladesulaji wa umeme
Mkuu chumba gani hicho chenye sqft 20 maana yake chumba kina urefu na upana wa foot 4.5 au ulikuwa unamaanisha sqm20 na sio sqft20?Inategemea na unapotaka kufunga ukubwa wa chumba.
Mfano, unataka kufunga livingroom au bedroom (na ukubwa wa hivo vyumba ni feet ngapi kwa ngapi).
Pia budget yako, kama AC mpya au used (Mpya kuna AC wametoa Hybrid-Low Electric Efficiency Usage).
Ushauri wangu, kama chumba kikubwa kinazidi Square Feet 20, Funga AC ya HorsePower 2 (Vise verse funga AC ya HorsePorwer 1).
Nimetereza kuandika neno SQUARE, nia niandike feet 20 - 20.Mkuu chumba gani hicho chenye sqft 20 maana yake chumba kina urefu na upana wa foot 4.5 au ulikuwa unamaanisha sqm20 na sio sqft20?
Sent using Jamii Forums mobile app