Ushamba na Uongo wa Watanzania kwa sifa za Nyumba ya Mengi. Je ingekuwa kama hii watu mngesemaje?

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Nmeshtushwa na jinsi watu wanavyoishangaa nyumba hii ya Mengi. Binafsi naiona ni nyumba ya kawaida tu wala si namna ambavyo imewateka watu

Nmeshangaa kuna watu ni kama wanafanya kampen ya kuipa utukufu. Ukiiangalia haina jambo la ajabu si kwa ramani au ukubwa wake.

Binafsi nmezoea kuona mansion huko Usa, Uk, Dubai na Brunei. Ukienda Sweden, Canada na Finland au China. Kuna nyumba kali sana.

Hii ni ya kawaida kwa size na hata wengine wanajaribu kuandika habari za uongo kuipa thaman.

Nimeona kumekuwa na kampeni ya kui promote nyumba hii sijui kwa faida ya nani. Otherwise ni nyumba ya kawaida ambayo mimi sioni ambacho inacho cha ajabu.

Inawezekana ni ushamba wa watanzania wengi au promotion at work. Mzee wangu ana nyumba ya ghorofa mbili tu but i am sure ni bora kuliko hiyo ya mengi.and hii ipo just in botswana hapo wala si mbali. Eneo kubwa na wafanyakazi zaidi ya 20 akiwepo HR wa pale home. Achana na nyumba alizojenga Canada,Usa,Dubai,Ulaya na sehemu za Asia.

Ina underground floor kubwa sana n.k bado ina njia ya mita 700 underground ambayo inaenda kutokea kwenye nyumba nyingine ya mzee ambayo anaishi bro lakini majirani hawajui kuwa ana undugu na sisi. Sababu za kiusalama.

Hii nyumba ya mzee ina mambo mengi ambayo nikiitizama nyumba ya mengi naona ni ya best ukilinganisha na ya mzee. Sababu eneo lake tu ni kubwa sana. Its a place ambapo smetme hata rais huleta wageni wake wapumzike zaidi ya kule ikulu.

Humo humo ndani kuna nyumba za wafanyakazi ambao hawa hukaa humo na familia zao.zipo tano za wafanyakazi wasioenda kwao.zote zina 3 bedrooms na master bedroom moja. Ni nyumba ambazo zina kila kitu.

Mama yangu ni Mtanzania baba yangu Raia mwenye uraia wa Botswana na nchi nyingine. Ni mfanya biashara wa madini maarufu sana SA na Inchi za Kiarabu akishirikiana na matajiri wa mafuta.

Sioni cha ajabu nyimba ya Reginald Mengi. Ni ya kawaida saaaaaana.
 
Nmeshtushwa na jinsi watu wanavyoishangaa nyumba hii ya Mengi. Binafsi naiona ni nyumba ya kawaida tu wala si namna ambavyo imewateka watu

Nmeshangaa kuna watu ni kama wanafanya kampen ya kuipa utukufu. Ukiiangalia haina jambo la ajabu si kwa ramani au ukubwa wake.

Binafsi nmezoea kuona mansion huko Usa, Uk, Dubai na Brunei. Ukienda Sweden, Canada na Finland au China. Kuna nyumba kali sana.

Hii ni ya kawaida kwa size na hata wengine wanajaribu kuandika habari za uongo kuipa thaman.

Nimeona kumekuwa na kampeni ya kui promote nyumba hii sijui kwa faida ya nani. Otherwise ni nyumba ya kawaida ambayo mimi sioni ambacho inacho cha ajabu.

Inawezekana ni ushamba wa watanzania wengi au promotion at work. Mzee wangu ana nyumba ya ghorofa mbili tu but i am sure ni bora kuliko hiyo ya mengi.and he is just in botswana hapo wala si mbali. Eneo kubwa na wafanyakazi zaidi ya 20 akiwepo HR wa pale home.

Sioni cha ajabu nyimba ya Reginald Mengi.
Unachokisema kinaweza kuwa kweli but kwanini useme? Beauty is in the eyes of the beholder, wao wameona nzuri, ww unayo unayoiona nzur.. haina haja ya kusema sema
 
Asiejua maana hua haambiwi maana.
 
Baelezeee umaskini wa Tanzania na ushamba unafanya watu wanatukuza na kusifu vitu ambavyo ni vya kawaida sana hata kwa nchi jirani..Nyumba imeongezewa sifa hadi unashangaa.Mansion ukiona imetokeza a.c kwa nje kama ile ya Mengi basi jua hamna kitu hiyo ni ya kawaida sana
 
Nmeshtushwa na jinsi watu wanavyoishangaa nyumba hii ya Mengi. Binafsi naiona ni nyumba ya kawaida tu wala si namna ambavyo imewateka watu

Nmeshangaa kuna watu ni kama wanafanya kampen ya kuipa utukufu. Ukiiangalia haina jambo la ajabu si kwa ramani au ukubwa wake.

Binafsi nmezoea kuona mansion huko Usa, Uk, Dubai na Brunei. Ukienda Sweden, Canada na Finland au China. Kuna nyumba kali sana.

Hii ni ya kawaida kwa size na hata wengine wanajaribu kuandika habari za uongo kuipa thaman.

Nimeona kumekuwa na kampeni ya kui promote nyumba hii sijui kwa faida ya nani. Otherwise ni nyumba ya kawaida ambayo mimi sioni ambacho inacho cha ajabu.

Inawezekana ni ushamba wa watanzania wengi au promotion at work. Mzee wangu ana nyumba ya ghorofa mbili tu but i am sure ni bora kuliko hiyo ya mengi.and he is just in botswana hapo wala si mbali. Eneo kubwa na wafanyakazi zaidi ya 20 akiwepo HR wa pale home.

Ina underground floor kubwa sana n.k bado ina njia ya mita 700 underground ambayo inaenda kutokea kwenye nyumba nyingine ya mzee ambayo anaishi bro lakini majirani hawajui kuwa ana undugu na sisi. Sababu za kiusalama.

Hii nyumba ya mzee ina mambo mengi ambayo nikiitizama nyumba ya mengi naona ni ya best ukilinganisha na ya mzee. Sababu eneo lake tu ni kubwa sana. Its a place ambapo smetme hata rais huleta wageni wake wapumzike zaidi ya kule ikulu.

Humo humo ndani kuna nyumba za wafanyakazi ambao hawa hukaa humo na familia zao.zipo tano za wafanyakazi wasioenda kwao.zote zina 3 bedrooms na master bedroom moja. Ni nyumba ambazo zina kila kitu.

Mama yangu ni Mtanzania baba yangu Raia mwenye uraia wa Botswana na nchi nyingine. Ni mfanya biashara wa madini maarufu sana SA na Inchi za Kiarabu akishirikiana na matajiri wa mafuta.

Sioni cha ajabu nyimba ya Reginald Mengi.

Kwendraa hukoooo..Umevuta cha Arusha kikakuzengua

Sasa umeongelea majumba ya Nje hukoooo

Watanzania wameona Jumba la Tanzania..na wamevutiwa

Acha ushamba wewe Kondakta
 
Weka Picha basi ya hiyo mansion uliyoiona Paris kwenye video
 
Back
Top Bottom