Ushamba huu nao!

mashaka-jr

Member
Apr 28, 2012
26
1
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
Nafikiri mmenisoma!
 
mie sijakuelewa unaandika nn, tuliza akili kwanza alafu ndo ubandike isha yako hapa
 
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
Nafikiri mmenisoma!

Kwani ulikuwa unafukuzwa wakati unaandika...sijakusoma hata sentensi moja!
 
waswahili wanasema ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.
Sielewi skins dada hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya na wayne wa wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana wa kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
nafikiri mmenisoma!
kwa lugha gani?
Hicho ulicho kiandika hakisomeki wala hakieleweki, ni makorokocho ya ndukukulukudusucho
 
Mi nimekusoma mtu mzima, kawaida kubadili Mazingira dada zetu ndivyo walivyo, na ndiyo maana huwa tunasema chochote chenye miguu miwili hakipaswi kuaminiwa kwa 100%.
 
Wala sijakusoma, hebu tafsiri labda nitaelewa! kiswanglish kigumu!
 
Huyu atakuwa mwandishi Kibanda alitaka kutupa newz sasa akawa anakimbizwa asizitoe.
 
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
Nafikiri mmenisoma!
OK kumbe wewe ni mwalimu wa secondary , pole na majukumu, ulikuwa kambini wapi iringa, mwanza au Dar
 
Naona huyu ni msanii wa fleva kukurupukia mambo asiyoyajuwa na kujiita mchangia mada wakati anayo andika hayaeleweki bali anayaelewa yeye mwenyewe sawa tu na dada mmoja humu JF aitwaye Natalia
 
Last edited by a moderator:
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Sielewi skins Dada Hawaii wana matatizo ya kisaikolojia au no wendawazimu umewasukuma kujichanganya NA Wayne WA wenyewe. Ndio kwanza tumemaliza kazi maalumu ya kuandaa vijana WA kidato change tano mwakani. Lakini ufuska wa kina dada kwenye kambi ulikuwa unatisha! Nasikia kwamba wengine ni wake wa wenyewe.
Nafikiri mmenisoma!

ni vigumu kueleweka kama umechagua kuto eleweka
 
Mi nimekusoma mtu mzima, kawaida kubadili Mazingira dada zetu ndivyo walivyo, na ndiyo maana huwa tunasema chochote chenye miguu miwili hakipaswi kuaminiwa kwa 100%.
Kama umemwelewa huyu, basi we Mkariiiii
 
hao wanawake walikuwa wanafanya ufuska wenyewe? Au walikuwa wanafanyana ufuska na wanaume?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom