Ushakunaku wa wanaume kujifanya mnaficha watoto ili mtuheshimu wake zenu

Kitendo tu cha kufungua kufunga mlango na kuvua suruali tayari si heshima tena tena kwa mkeo! Na kitendo kinachofuata mtakachokifanya ni zaidi ya matusi tutakayo tukanywa mtaani,kazini na mitandaoni. Sasa mnachotuheshimu ni nini?
Si upashkuna tu unawasumbua
Acheni ubinafsi hamjui kuwa mpo wengi kuliko sisi
 
Vp zee lako la home lina mtoto wa nje ya ndoa? Chukua yule dogo wa pale kazini kwako unaempaga lift piga nae mechi ya nguvu!!
Mnatapa tapa sana kuhusisha post hii na mume wangu,Mimi sinaga kawaida ya kubishana na mwandani wangu kabla ya mahusiano nae alikua na mtoto tayari na nilipoolewa kabla sijazaa nae nilifungua njia ya mtoto kuletwa nyumbani kwao toka kijijini kwao tangu akiwa darasa la 2 mpaka sasa yupo Kidato cha 5 kwa hiyo akiongeza nae pia amlete tu Mimi sina neno lakini asimfiche kwa kigezo cha heshima kwangu wakati alishaacha kuniheshimu kwa kutembea nje ya ndoa
 
Nina ushahidi wa matukio mawili ambapo wanaume walikuwa wawazi
na kuleta watoto wao nyumbani,Tena walizaa kabla ya kuoa
mmoja alipomleta mtoto,mke wake akaonekana kama anamkubali
aliposoma akamaliza form six, mwanamke akaanza kusema
hela itaishia kusomesha huyu na wanangu watakosa fedha
ya kuwa somesha.Akaenda kwa fundi akamfanya nusu kichaa
mama wa mtoto alipojua akamchukua mwanae akatafuta msaada wa maombi
mwanae ndo mwanae kupona na kurudia hali yake.

Mwingine kwa wivu huo huo alikwenda kwa fundi
na kumfanya mtoto wa kambo kipofu.
Baba wa mtoto naye akaenda kwa fundi
na kwa bahati sijui kama ni mbaya au nzuri
akaenda kwa fundi huyo huyo aliyepofusha mtoto.
yule fundi akasema ukweli alioambiwa na mama
wa kambo kwamba ana hofu ya wanae kutopata
msaada endapo huyo wa kambo atasomeshwa.
Fundi akapewa fedha,akaondoa nyenzo yake
mtoto akaona.mme aliporudi nyumbani
ndo ulikuwa mwisho wa ndoa,na bahati walikuwa
hawajapata mtoto.

Pia tukumbuke kuzaa nje ya ndoa si wanaume tu,
kuna matukio mengi ambapo wababa wanalea watoto
kwa kudhani ni wao kumbe mama alichepuka
na kupata mimba ila analindwa na msemo
kwamba "Kitanda hakizai haramu"
Na ndo maana mila nyingi unakuta watoto
wanaopewa urithi wa maana ni mzaliwa
wa kwanza na wa mwisho nilipomwuliza
mzee mmoja maana yake ni nini
alichoniambia nikiweka hapa mchango wangu
utawachosha wengi kusoma,tufanye siku nyingine.

Kwa hiyo tunapochangia uzi huu tuangalie
pande zote.Ni kweli inaumiza mwenzako
kuzaa nje ya ndoa yenu ila si haki
kuwafanyia unyama watoto ambao
wakati wa starehe zenu wao hawakuwepo
wamejikuta nao wameishazaliwa nje ya ndoa.
Tuwaonee huruma tuwatunze kama watoto
wetu huwezijua ni nani atakusaidia kesho.
 
espy mie nimekushindwa hv huwa upo serious unapoandika au unakuwaga na ww unacheka? hahahahah uchovu wote wa wknd umeisha kwa comment hii jaman ! nilisema sicomment kitu acha nikoment tu !nimecheka sana jaman !
Unakung'uta mpaka akili inamkaa sawa, vuruga vuruga hadi azifuate akili zake alipoziacha.
 
Nina ushahidi wa matukio mawili ambapo wanaume walikuwa wawazi
na kuleta watoto wao nyumbani,Tena walizaa kabla ya kuoa
mmoja alipomleta mtoto,mke wake akaonekana kama anamkubali
aliposoma akamaliza form six, mwanamke akaanza kusema
hela itaishia kusomesha huyu na wanangu watakosa fedha
ya kuwa somesha.Akaenda kwa fundi akamfanya nusu kichaa
mama wa mtoto alipojua akamchukua mwanae akatafuta msaada wa maombi
mwanae ndo mwanae kupona na kurudia hali yake.

Mwingine kwa wivu huo huo alikwenda kwa fundi
na kumfanya mtoto wa kambo kipofu.
Baba wa mtoto naye akaenda kwa fundi
na kwa bahati sijui kama ni mbaya au nzuri
akaenda kwa fundi huyo huyo aliyepofusha mtoto.
yule fundi akasema ukweli alioambiwa na mama
wa kambo kwamba ana hofu ya wanae kutopata
msaada endapo huyo wa kambo atasomeshwa.
Fundi akapewa fedha,akaondoa nyenzo yake
mtoto akaona.mme aliporudi nyumbani
ndo ulikuwa mwisho wa ndoa,na bahati walikuwa
hawajapata mtoto.

Pia tukumbuke kuzaa nje ya ndoa si wanaume tu,
kuna matukio mengi ambapo wababa wanalea watoto
kwa kudhani ni wao kumbe mama alichepuka
na kupata mimba ila analindwa na msemo
kwamba "Kitanda hakizai haramu"
Na ndo maana mila nyingi unakuta watoto
wanaopewa urithi wa maana ni mzaliwa
wa kwanza na wa mwisho nilipomwuliza
mzee mmoja maana yake ni nini
alichoniambia nikiweka hapa mchango wangu
utawachosha wengi kusoma,tufanye siku nyingine.

Kwa hiyo tunapochangia uzi huu tuangalie
pande zote.Ni kweli inaumiza mwenzako
kuzaa nje ya ndoa yenu ila si haki
kuwafanyia unyama watoto ambao
wakati wa starehe zenu wao hawakuwepo
wamejikuta nao wameishazaliwa nje ya ndoa.
Tuwaonee huruma tuwatunze kama watoto
wetu huwezijua ni nani atakusaidia kesho.
Tuombee sana ndoa zetu
 
LadyAJ mie binafsi bora usiniambie !maana nina ugonjwa wa kukatika hisia mno! we azae tu usiniambie utajua wewe ! mie huo moyo sitak best
Hivi we mwenzangu unaogopa kuambiwa mtoto ila huogopi kuambiwa mna ukimwi!!? Maana mtoto kapatikana kwa wao kufanya kavu kavu,wanawake tunashngaza sana
 
Hivi we mwenzangu unaogopa kuambiwa mtoto ila huogopi kuambiwa mna ukimwi!!? Maana mtoto kapatikana kwa wao kufanya kavu kavu,wanawake tunashngaza sana
Haya mambo bwana mie yananitiaga hasira kweli. Mungu aniepushe tu kwakweli.
 
Kitendo tu cha kufungua kufunga mlango na kuvua suruali tayari si heshima tena kwa mkeo! Na kitendo kinachofuata mtakachokifanya ni zaidi ya matusi tutakayo tukanywa mtaani,kazini na mitandaoni. Sasa mnachotuheshimu ni nini?
Si upashkuna tu unawasumbua

Kama kujadili tu unatumia lugha ya maudhi, mtu anaanzia wapi kuamini kama una busara za kuelewa ukikutana na tukio lenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom