Ushakunaku wa wanaume kujifanya mnaficha watoto ili mtuheshimu wake zenu

Sasa unalalamika nn kwani mtoto wa nje ya ndoa ni yule
yule,...bado ni mtoto tu, afu kuna wanawake wengine, wanaingia kwenye ndoa harafu bado wanamahusiano nje, wakipata mimba uko nje wanamleta ndani, ni kitu kile kile,...
Sijalalamika ila nimewaeleza tu msifiche matunda ya uasherati wenu kwa kisingizio cha kutuheshimu,ni ushakunaku na upashkuna
 
Sekta ya mapenzi..heshimuni ndoa zenu..msipoleta visa na sisi tubadilike
Unamaanisha visa vya aina gani, unajua jasiri aachi asili yke we km ni Malaya ni Malaya tu hata ulambwe miguuu huwezi badilika... Hanna cha visa walA nn wanaume mnatamaa
 
Una akili nyembamba sana kama si finyu
Haya, wewe unaakili pana na nene

Hakuna sababu hata moja ya wewe kuwajua hao watoto

Ni Maamuz ya mwanaume akuambie au apige kimya, huyo mtoto/watoto akisha juana na ndugu zake inatosha
 
Haya, wewe unaakili pana na nene

Hakuna sababu hata moja ya wewe kuwajua hao watoto

Ni Maamuz ya mwanaume akuambie au apige kimya, huyo mtoto/watoto akisha juana na ndugu zake inatosha
wenye akili wamenielewa wewe tuliza kibolo hicho
 
Unamaanisha visa vya aina gani, unajua jasiri aachi asili yke we km ni Malaya ni Malaya tu hata ulambwe miguuu huwezi badilika... Hanna cha visa walA nn wanaume mnatamaa
basi ndio maana ni vigumu nyie kubadilika...Tamaa binadamu wote tunazo
 
Kitendo tu cha kufungua kufunga mlango na kuvua suruali tayari si heshima tena tena kwa mkeo! Na kitendo kinachofuata mtakachokifanya ni zaidi ya matusi tutakayo tukanywa mtaani,kazini na mitandaoni. Sasa mnachotuheshimu ni nini?
Si upashkuna tu unawasumbua
Ninachokijua mimi ni kuwa takwimu zinatoa jibu sahihi kuwa sanaume hatupaswi kuoa mwanamke mmoja kwakua idadi ya wanawake ni kubwa mara dufu kwa idadi yetu ndogo wanaume. Wewe mwanamke unaelilia wanaume tuoe mwanamke mmoja tu jaribu kwanza wewe kuishi bila mume uonje kadhia ya kukosa duduzi hukugeuka kuwa mwizi wa duduzi za wanaume wa shoga zako
 
Sitetei maovu ila ukiona mwanamke anazaa nje ya ndoa yake basi kuna tatizo (labda mwanaume hana uwezo wa kupandikiza mimba kwa mkewe) au yeye mwenyewe ana matatizo ila vyote vinauma
Wengine hata matatizo kama hayo huwa hawana lakini wake zao wanabeba mimba za watu wa nje nyinyi wanawake ni wabaya sana bora hata sisi wanaume
 
Hii tabia siku zote huja kuleta madhara makubwa sana hasa kwa mtoto mwenyewe huko mbeleni..

Kama ushatotoa na kimada huko ndo ishakua hakuna namna.. .ila usimuadhibu mtoto kwa upuuzi wako.
 
Kitendo tu cha kufungua kufunga mlango na kuvua suruali tayari si heshima tena tena kwa mkeo! Na kitendo kinachofuata mtakachokifanya ni zaidi ya matusi tutakayo tukanywa mtaani,kazini na mitandaoni. Sasa mnachotuheshimu ni nini?
Si upashkuna tu unawasumbua
Kwani shida iko wapi?
Kazaa na mwanamke na wewe mwanamke kazae na mwanaume ukamilishe ratiba
Life goes on.

Mwanamke mjinga ....
 
Achen wenge nyie mmeumbwa kwa ajil yetu tulia kimya cha msingi achen wivu bass mwanaume kuwa na wake wengi ni asili mbona beberu anapanda majike mengi Lakin hayamsimangi yametulia tuliii kama maji ya mtungi huku yakiangalia dume likipiga mzigo kwa wenzake??? Achen hizo bhana tuna ham etii yaan tungekuwa na uwezo kila anayepita mbele yetu tungemwingizia dyudyu bas tuu mmeficha kwenye sket na Madera
Mmmh! Si kila mwanamke aliumbwa kwamb atakuwa na mwanaume, alaf pia wanawake wanaumia pale mtu wake anapo chepuka, n n raha sana kubak njia kuu
 
Kitendo tu cha kufungua kufunga mlango na kuvua suruali tayari si heshima tena tena kwa mkeo! Na kitendo kinachofuata mtakachokifanya ni zaidi ya matusi tutakayo tukanywa mtaani,kazini na mitandaoni. Sasa mnachotuheshimu ni nini?
Si upashkuna tu unawasumbua
Vp zee lako la home lina mtoto wa nje ya ndoa? Chukua yule dogo wa pale kazini kwako unaempaga lift piga nae mechi ya nguvu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom