Ushakunaku wa wanaume kujifanya mnaficha watoto ili mtuheshimu wake zenu

Tatizo sio ndoa kuvunjika, wanawake wengine ni watata, utaomba dunia ipasuke huku na huku uingiemo kwa ndani usitoke.

Maana fujo atakazoletewa mtoto yule na mama yake sio za kawaida.
Jamani hahaha tuambieni tu hivyo hivyo hata kama tutacharuka lakini tutatulia tu hatutakua na namna
 
Kila watu wanavyozidi kukosoa taratibu za muumba ndivyo mnavyo zidi kuumbuka aliyewaumba kajalia wanaume wawe na mke zaidi ya mmoja hakuna kitabu chochote cha dini kinachosema msioe wake wengi sisi tunadanganyana kuoa mmoja mahawara kila kona tuendelee kufichana kilio kitatuumbua
Hatuna tatizo mkioa,uislam unaruhisu na watakaozaliwa hapo watakua wa ndani ya ndoa Mimi nasunguzia wale wanaoficha watoto wa zinaa kwa kisingizio cha kutuheshimu wake zao
 
Ukumbuke moja ya ndugu zake ni wale aliowazaa mkeo hivyo wote wana haki ya kufahamiana na ikibidi kuishi pamoja
na hao ni sehemu za ndugu zake, watajuana


Sion sababu ya kuja kukuambia hata moja

Wanaume wote waaminifu
 
Wanawake wanazaa watoto wanatuletea tulee kabisa, ila sis tukifanya ivo ni wabaya,... Aissehh
Maisha ni makubaliano tu sioni ubaya wa ww kulea mtoto wa mkeo na yeye kulea wa kwako,Mimi kabla sijaolewa nilikua na mimba isiyo yake baada ya mwenye yake kufariki alinilelea mpaka nkkajifungua na baadae tukaja funga ndoa anamlea mwanangu kama mwanae na yeye pia alikua na mtoto kabla hatujaanza hata mahusiano yupo namlea kama mwanangu, hilo ndilo linalotakiwa
 
Hawezi pata muda wa kuchepuka kwa kuwa kila siku anakuwa na uhakika wa kula tunda, pia itamfanya msizoeane (zamu yako ikifika kila mtu anakuwa na hamu na mwenzie)..

Sent from my GT-S7582 using JamiiForums mobile app
Utoto nao raha sana,yaani unavyojifikirisha in +be way kama vile kweli
 
Maisha ni makubaliano tu sioni ubaya wa ww kulea mtoto wa mkeo na yeye kulea wa kwako,Mimi kabla sijaolewa nilikua na mimba isiyo yake baada ya mwenye yake kufariki alinilelea mpaka nkkajifungua na baadae tukaja funga ndoa anamlea mwanangu kama mwanae na yeye pia alikua na mtoto kabla hatujaanza hata mahusiano yupo namlea kama mwanangu, hilo ndilo linalotakiwa

Sasa unalalamika nn kwani mtoto wa nje ya ndoa ni yule
yule,...bado ni mtoto tu, afu kuna wanawake wengine, wanaingia kwenye ndoa harafu bado wanamahusiano nje, wakipata mimba uko nje wanamleta ndani, ni kitu kile kile,...
 
Tatizo tukiwaambia ni shida tusipo waambia n shida ,,wanawake kwa visa hamjambo nimewachoka ss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom