Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Amani Karume
Nilikuwa mwema rafiki, Mlinipenda sana.
kilichofanya mnisaliti, baada ukweli kunena.
Jamhuri ya watu wazanzibar kwanza, Leo natangaza.
Vipi liwe ndio kosa. Hata mkanitosa.
Mnakataa mbivu, mtakuja kula mbovu.
Jifunzeni Ustahamilivu, Mtakufaa kwa Maumivu.
Haya sasa wachambuzi wa vijembe, kazi ni kwenu kutafsiri na kuuchambua huu ubeti!