Ushairi wa Mh. Amani Karume

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233

Amani Karume

Nilikuwa mwema rafiki, Mlinipenda sana.
kilichofanya mnisaliti, baada ukweli kunena.
Jamhuri ya watu wazanzibar kwanza, Leo natangaza.
Vipi liwe ndio kosa. Hata mkanitosa.
Mnakataa mbivu, mtakuja kula mbovu.
Jifunzeni Ustahamilivu, Mtakufaa kwa Maumivu.

Haya sasa wachambuzi wa vijembe, kazi ni kwenu kutafsiri na kuuchambua huu ubeti!
 
Kwani siku zote alipokuwa kwenye madaraka alikuwa hazioni hizo kasoro ,asavali akae kimya tu kama komandoo,hayo mambo ya kusema ukiwa nje ya kwenye asali na maziwa ni kutaka kuwachafua wenzake,kama ana mahaba basi agawe utajiri wake na aombe radhi kwa kupora viwanja,na kwa kusajiri meli za Iran kutumia bendera ya TZ
 
Yeye atulie tu ale khalua basi, alikuwepo madarakani kwa miaka kumi mbona hatujawahi kusikia shairi wala ngonjera.
 
Amani Karume

Nilikuwa mwema rafiki, Mlinipenda sana.
kilichofanya mnisaliti, baada ukweli kunena.
Jamhuri ya watu wazanzibar kwanza, Leo natangaza.
Vipi liwe ndio kosa. Hata mkanitosa.
Mnakataa mbivu, mtakuja kula mbovu.
Jifunzeni Ustahamilivu, Mtakufaa kwa Maumivu.

Haya sasa wachambuzi wa vijembe, kazi ni kwenu kutafsiri na kuuchambua huu ubeti!

Kama namuona vile. Jukwaa kuu Kizota akipugia konyagi katika chupa ya maji ya kilimanjaro
 
Mara kwa Mara channel ten tv wamekuwa wakionyesha highlight Balozi Ali Karume akisema yeye ni muumini mzuri aw Muungano.

wana JF, Demokrasia haijawafundisha kuwavumilia msiowataka? Amani mwenyewe kasema kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake. mawazo ya Ally karume na Amani karume hayawezi kufanana.Zanzibar kwanza.
 
Huyu ndio ccm halisi na ikiwa sasa anataka mabadiliko mujuwe muda umefika
 
wana JF, Demokrasia haijawafundisha kuwavumilia msiowataka? Amani mwenyewe kasema kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake. mawazo ya Ally karume na Amani karume hayawezi kufanana.Zanzibar kwanza.

Ametambua lini kuwa Zanzibar kwanza! Je ni baada ya kuanza kufukuliwa kwa sera isiyokuwa rasmi ya 'hapa pangu?' Watasema mengi sana mwaka huu. Watafunuana na kuumbuana kwa kila neno. Mwingine mwenzake majuzi ametoa ushahidi namna wanavyoshirikiana na polisi kuua raia wasiokuwa na hatia.
 
Sera kuu ni KUHISHIMIANA na sio KUVUMILIANA.

Uvumilivu baaaaassssi kwa Znz.

Hongera Aaman.
 
Back
Top Bottom