Ushahuri wa bure kwa wamiliki wa Clouds na Mh. Sugu

Ushauri mzuri nami nawashauri hasa mmiliki wa cloud asimpe mamlaka makubwa Ruge atamharibia biashara yake, Na Mh Sugu si wakati wa kulumbana na kuonyeshana Ubabe Umekua sasa Tengeneza marafiki zaidi acha mabo ya kitoto yatakuaibisha na yatawafedhehesha waliokupigia kura
 
Haya ndio madhara ya kubeba mabox mpaka ukubwani, akili zako ni shake well before use, weka mbali na watoto, yaani ni half empty glass.
Ha ha haaa hii kali nimemsomea mtu kwa sauti akacheka sana
 
Psychologically mtu wa aina hiyo huwa ana tabia ya EGO,usishangae akaamua hata kuku2kana ingawa anajua kuna Ban,kwahyo Counselling ndo suluhu kwake
Yani umenichekesha sana NN, hivi huwa unawaza nini kabla ya kutoa majibu yako....? dahh yani ni mafupi na huwa yanamuacha mjibiwaji kwenye hewani......
 
Yani umenichekesha sana NN, hivi huwa unawaza nini kabla ya kutoa majibu yako....? dahh yani ni mafupi na huwa yanamuacha mjibiwaji kwenye hewani......
Huyo ni mbeba mabox tu kwa Obama hana lolote zaidi ya kupunguza stress zake tu hapa JF. Jitu jinga kama hilo ni mfu ingali yu hai.
 
Back
Top Bottom