ni vyema kujiandaa kisaikojia kwa lolote,kwa wakati huu serikali inajipanga kushughulikia kelo zenu. Uvumilivu wenu unaitajika sana,kwani muda si mrefu mtaanza kula matunda ya nchi. Hakuna serikali duniani inayochukia watu wake ikiwemo watumishi,ni vyema muipatie muda serikali ijipange ni imani yangu muda si mrefu mambo yatakuwa mazuri.
Jambo la msingi ni kujiaandaa kisaikolojia kwa jambo lolote lile katika kipindi cha mpito. Ata ukisikia ruhusa za kwenda kujiendeleza kimasomo zimesitishwa utakuwa salama kwani utakuwa umeshajiaandaa kisaikolojia. Tiba sahihi kwa mtumishi wa umaa kwa sasa ni maandalizi ya kisaikolojia,tofauti na apo idadi kubwa ya watu wenye msongo wa wawazo itaongezeka,hivyo kupunguza nguvu Kazi ya taifa.