Ushahidi wa wizi wa kura

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Nimefanya utafiti nikagundua kuwa karatasi ya kura ata bila ya kupigwa ikipata unyevunyevu au ukiimwagia maji inaonyesha tayari tiki imepigwa kwenye sehemu ya CCM

kama kuna yeyote mwenye shaka au tume ikitaka ushahidi basi niko tayari kuwaelekeza , nimethibitisha pia kwenye uchaguzi wa IGUNGA
 
Kwahiyo ndio kusema ndani ilikuwa na tiki, ila kuna very tiny white paper imeifunika ile tiki, kiasi kwamba ukiimwagia maji au unyevunyevu ile tick inaonekana!! Nadhani this is very intergrity theft teqnc!!
 
Hodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.
 
kwa hiyo unathibitishwa kuwa chadema haiwezi kuongoza Tanzania! kama wewe raia usiye na nyenzo umeweza kugundua hilo, chadema na intelijinsia hayo hawayajuia hayo?

mpango ni upi, wabebe maji watembee nayo? how!!!

you must be lying!
 
Kunaukweli ndani yake ndiyo maana CCM kwa kutumia wagaganga wa jadi walileta mvua Igunga siku ya kura ili alama hizo zionekane. Badala ya kuwapeleka waganga hao huko kwenye bwawa la Mtera ili tupate umeme wa kutosha CCM inawatumia siku ya uchaguzi.
 
Haya ni mageni.Kama ni hivyo,basi hakuna kazi.Ni fraud ya kutisha sana.
Nimefanya utafiti nikagundua kuwa karatasi ya kura ata bila ya kupigwa ikipata unyevunyevu au ukiimwagia maji inaonyesha tayari tiki imepigwa kwenye sehemu ya CCM

kama kuna yeyote mwenye shaka au tume ikitaka ushahidi basi niko tayari kuwaelekeza , nimethibitisha pia kwenye uchaguzi wa IGUNGA
 
Hodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.
dafaiza mwambie huyo ni mfa maji haachi kutapatapa,wakubali wamepigwa bao la kisigino,wakubali tu kuwa wameshindwa,mana
Asiekubali kushindwa si mshindani,wajipange upya wasubiri 2015.
 
Kwa sie tulio na uelewa wa mambo,
CCM ndo wameangukia pua Igunga!
Ebu fikiria for the first time CDM wamewasha moto wa kampain ndani ya Mkoa wa Tabora na wameleta upinzani wenyemashiko!
Kiukweli CCM is no more. Hatakidogo na bado sahz tunageukia vijijini ili the year 2015 tumalize kazi.
 
Wahenga usema "Mbahazi ukikosa maua usingizia jua"!

Usitake kunivunja mbavu, nakumbuka kipindi fulani CUF (throug Lipumba) walisema karatasi za kura zilitengenezwa maalum kuwa ukipiga kura baada ya muda ile tiki inaamia CCM!

Endelea kuleta ushahidi jamani.......!
 
Kwahiyo ndio kusema ndani ilikuwa na tiki, ila kuna very tiny white paper imeifunika ile tiki, kiasi kwamba ukiimwagia maji au unyevunyevu ile tick inaonekana!! Nadhani this is very intergrity theft teqnc!!

Hatujaambiwa the science behind that finding. Speculation yako haina scientific backing.
 
Sasa CDM kama ni hivyo, walipataje hizo kura? au karatasi zao zilikuwa tofauti?
 
wizi mwingine ccm na tume wanaofanya ni zile karatasi za kupigia ni self copy ukiandika juu baada kama nusu saa maandishi yote yanafutika mbinu hii waliitumia ccm mwaka jana kutangaza matokeo kwenye kata wakala akibishi anaambiwa lete nakala yako wakiichek matokeo yamefutika. Ushahid mi mwenyewe nilikuwa msimamizi kijijin ambako hakuna usafiri wala mawasiliano ya cm tulipomaliza kuhesabu kura na kubandika matokeo tukarudi katani(center ya matokeo) nikashangaa kukuta viongozi wa ccm kutoka wilayan wakijumlisha matokeo yao cha ajabu matokeo ya kituo changu walishayapata kabla ya cc na gari letu hatujafika. Ccm wezi sana
 
kama mnayosema ni kweli je huko tunakokwenda kuna usalama kweli?
 
Back
Top Bottom