Ushahidi wa wizi wa Kura hadharani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi wa wizi wa Kura hadharani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by akashube, Oct 28, 2010.

 1. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Katika mkutano wa kampeni wa CUF unaoendelea sasa hivi hapa jangwani Dar es Salaam Juma Haji Duni Mgombea mwenza wa Kiti cha urais kwa tiketi ya CUF ametoa hadharani ushahidi wa barua pamoja na vitendea kazi vya kutekelezea wizi wa kura unaofanywa na Tume ya uchaguzi kwa kushirikiana na Usalama Wa CCM(uwt).

  My take:

  Hayawi hayawi sasa yamekuwa. CCM wataaibika mno mwaka huu. Za mwizi kweli arobaini.

  Jamani kwa wale wabishi mnaonaje? maana kuna mpaka barua ya tume ya uchaguzi kwenda kwa watendaji wa kata kuwataka waibe kura na kwamba atakayetoa siri atafukuzwa kazi/na kuuawa.

  KAZI KWENU.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante kwa taarifa hiyo. Hata hivyo tunaomba ufafanue kwa zaidi huo ushaidi ni nini au ni kitu gani kinafanyika?
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa hizi, Kikwete hatafanya mdahalo kesho.

  Naomba na ziwe za kweli.

  Mungu Ibariki Tanzania kwa kutuondolea utawala wa mafisadi.
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna habari zaidi...! Tusubiri.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  yangu macho
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ananifurahisha Lipumba... anaichambua CCM na ahadi zake
  waliahidi kuwapatia maji safi na salama watu wa Tabora ambayo yanapatikana kama kilometa 20 kutoka mjini, wameshindwa na sasa wanaahidi kuwaletea maji kutoka ziwa victoria! wameahidi treni ya umeme wakati hiyo ya dizeli imewashinda
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yes, tupe taarifa za kina zaidi tafadhali!
   
 8. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Taarifa na nyaraka feki sawa na za Slaa alizopelekewa toka Tunduma za makaratasi ya kura kwenye konteina la ft 40.
  Viongozi wa upinzani wanaingizwa kiulaini kwenye mitego ya kijinga halafu baadaye wanaumbuka baada ya kutangaza vitu vya uongo majukwaani.
  Tufungue macho na kujifunza kutokana na makosa ya Slaa, hakuna mpango utakaotengenezwa na kuvuja kirahisi hivyo. Ni vitu vya kutengeneza kwa lengo la kuumbua viongozi
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  CCM NI WEZI WAKURA
  SIKU ZAKUANGUKA KWAKE ZIMEWADIA, ndio maana kila wanalogusa , linawateleza.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  mhhh!!!!!!!!
   
 11. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mpango upo, mbona kelele za kukubali matokeo zinazidi mpaka zinakera? Mbona zamani hili tangazo halikuwepo/ Tutavaa chupi moja safari hii[​IMG]
   
Loading...