Ushahidi wa Video ya Hotuba: Kagasheki asibishe yoote aliyoyasema kuhusu Meya haya hapa!

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Kwa kazi nzuri iliyofanywa na Bukoba wadau na wengineo hotuba ya Kagasheki hii hapa Jinsi alivyomshughulikia Meya kupata Uraia...........

Uoga kuhusu Dr Slaa na Uraia wa kupewa wa Meya.

Video hii hapa



Hapa ndo aje aseme kama JF na hadhi yake iliyonayo tunadanganya au tunasema ukweli!!!!! Tutafanya tuwezalo kuilinda heshima ya JF kwa ushahidi wa wazi kabisaaaa
 
Last edited by a moderator:
Part two ya hotuba hiyo hii hapa asibishe hata kidogo

 
Last edited by a moderator:
Fasiri yangu ni kuwa kampeni ya 2015 imeanza. Viongozi wa serikali na chama wameshaanza kampeni ya kupmbana na Dr Slaa.
 
Jamani jitahidini muweke bundle za kutosha huyu mzee asije akatugeuka. Mbaya zaidi anaitumia Radio yake iliyoko Bukoba ijulikanayo kama Kasbante FM kuwachafua viongozi wenzake. Juzijuzi kamzushia Mdogo wake na waziri aitwaye Sued Kagasheki kamzushia diwani wa Rwamishenye (CDM) kuwa kaiba mawe ya ujenzi....huko kwenye kata yao kumbe yale mawe ni reject hayawezi kujenga nyumba.........
 
Back
Top Bottom