Ushahidi wa Video ya Hotuba: Kagasheki asibishe yoote aliyoyasema kuhusu Meya haya hapa!

Mh Naibu waziri alipindisha sheria na kanuni ili kumpatia Meya uraia na watoto wake....Je ni watu wangapi TZ wanapewa hizi ofa?..:becky:
 
Halafu eti mtu huyu ndiyo tumemwamini alinde Tembo wetu, tena mbele ya Kinana ambaye ni boss wake.

Tushuhudie SHERIA kupidishwa wakati Tembo wetu wanaendelea kuwa porched with impunity!

Nchi hii under CCM hakuna utawala wa SHERIA
 
Sijamuelewa huyu ndugu naona anabwatukabwatuka tu bila mpangilio kisa anamuogopa RAis Slaa. Mwisho nimemtafsiri huyu jamaa kama atakuja kuwa Mpinzani muongo wa kutupwa!! Kama waziri na pia mtu anaeingia kwenye hilo baraza la madiwani kuja hadharani kuongea huu utumbo ni HATARI!.
 
Sijawahi kuona hii kitu tangu zaliwa kwani: Kuwashambulia wenzako ndani ya baraza ambalo nawe ni mjumbe kwa kumuogopa Dr.Slaa ni unafiki wa kutupwa.
 
Habari kutoka ndani zinasema kuwa aliyekuwa na tenda ya kujenga soko la Bukoba ana Uhusiano na Kagasheki.........sasa Halmashauri iliposhtuka kwa kuwa alikuwa amebid high na kumpa tenda mwingine Kagasheki amemind.Kwa hiyo ugomvi ndo huo. Wananchi wanasema kama Kagasheki amewahi kukusaidia chochote siku mkikorofishana atavisema tu hata kama ni Boxer(nguo ya ndani sio pikipiki)
 
Huyu aliununua Ubunge kutoka kwa Lwakatare kabla ya Uchaguzi wa 2010 -- kwa mapatano kwamba ghilba na hujuma zote kagasheki atakazofanya dhidi ya Lwakatare yeye Lwakatare anyamaze kimya tu. na hata matokeo yakitangazwa asiende mahakamani.
 
Kwa hali hii nashindwa kuelewa ndani ya ccm kuna viongozi wa namna gani! Kila inaye ona ana afadhari ni mchafu kuliko unayetaka kumfikiria.

Kwa uwozo huu inahitaji akili za maiti kutetea viongozi wa serikali wa namna hii.

Najua kuna wale jamaa wawili wasio jua kupima pumba na mchele. Sitashangaa wakija kutetea huu uozo ndani ya midhipa ya chama chao.

Waziri wa maliasili wa namna hii na katibu mwenye kashfa ya meno ya tendo sipati picha wakikaa chemba watajadili nini.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tuone atakuja kubisha na kukataa nini? Inawezekana washauri wake walimdanganya..............wakampa NKONYAGI!!!!
 
Mh Naibu waziri alipindisha sheria na kanuni ili kumpatia Meya uraia na watoto wake....Je ni watu wangapi TZ wanapewa hizi ofa?..:becky:

Mkuu.
Inawezekana wanawajua wengi ndio maana huwa wanawaletea zengwe mambo yao wakiona hayata enda vizuri.

Kumbuka ya Bashe, kigwangala, ulimwengu, salim ahmed salim n.k.

Hata wewe mkuu unawezekana kesho ukaambiwa sio raia. Usije ukashangaa ccm hawana wanalolishindwa.
 
Ni Tanzania tu kashfa kama hii itapita kama stori za Shigongo!!! Aibu tupu!!!

Kweli sijui tukimbilie wapi..Maana sheria hazifuatwi kuleta haki bali ni pale mtu anapopenda kuitumia kwajinsi inavyomfaa yeye..
 
Sasa Kagasheki ana mnyanyasa Meya kwakuwa alimtafutia Uraia? yaani Meya aache kufanya kazi yake na kutumia akili yake, bali atumie ya Kagasheki?

Kwa maana nyingine Meya amewekwa hapo na yeye kwa faida yake binafsi siyo kwaajili ya manufaa ya raia wa manispaa ya Bk...Huku sikia mwingine anatamba na utajiri wa watu? Yaani hao watu wako kwaajili yake kumfikisha kule anakotaka kwenda na akifika huko wakienda tu kinyume na matakwa yake watakoma ubishi...Duuh mambo mengine kuyasikia yanahitaji akili isiwe timamu uweze kuvumilia...People want to make themselves God to be worshiped na ukienda kinyume basi wewe ni victim hata kama utakuwa raia mwema.
 
we ukitaka cheti cha kuzaliwa nenda uhamiaji pesa yako tu hata passport hata kama wewe ni mghana au unaweza ingiaama mtalii lakini ukafanya kazi popote pale kama wanavyofanya migodini na viwanda vya wachina na wahindi
 
Kwa hali hii nashindwa kuelewa ndani ya ccm kuna viongozi wa namna gani! Kila inaye ona ana afadhari ni mchafu kuliko unayetaka kumfikiria.

Kwa uwozo huu inahitaji akili za maiti kutetea viongozi wa serikali wa namna hii.

Najua kuna wale jamaa wawili wasio jua kupima pumba na mchele. Sitashangaa wakija kutetea huu uozo ndani ya midhipa ya chama chao.

Waziri wa maliasili wa namna hii na katibu mwenye kashfa ya meno ya tendo sipati picha wakikaa chemba watajadili nini.

Nafikiri hao ni Rejao na Ritz wenye akili unazozingumzia, na mwengine alikuwa Mwita25 naona alinyimwa posho akaingia mitini
 
we ukitaka cheti cha kuzaliwa nenda uhamiaji pesa yako tu hata passport hata kama wewe ni mghana au unaweza ingiaama mtalii lakini ukafanya kazi popote pale kama wanavyofanya migodini na viwanda vya wachina na wahindi

Hii mbaya sanaa
 
Back
Top Bottom