Ushahidi wa Video: Gori la Kagere dhidi ya Namungo sio offside

Ktk sheria ya kuotea
Kama mchezaji atamtoroka mpinzani kutengeneza offside huku mpira ukiwa umeshatolewa basi hapo hakuna offside.
Ni sawa na golikipa akirudisha mpira vibaya ukanaswa na wapinzani ikiwa watafunga si offside.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mchezaji alimtoroka mfungaji kabla mpira haujapigwa kichwa, ingekuwa mpira umetoka kwa yule aliyepiga kwa mguu ukaenda moja kwa moja kwa mfungaji pasingekuwa offside
 
Lile goli lilikua CLEAR OFFSIDE. Pia niliangalia marudio ya ile video vizuri kwenye kipindi cha KIPYENGA CHA MWISHO ilikua ni Clear offside.

Ila sio kulaumu sana kwa kuwa marefa nao ni binadamu na kuna human errors tukumbuke
 
Tatizo wananufaika mikia tu..mbona timu nyingine hakuna human errors
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom