Ushahidi wa Kauli ya Marehemu Jumbe Kufitiniwa na Maalim Seif; Mahojiano na Gazeti la Mtanzania 2002

Hakuwahi kumpinga Jumbe akiwa hai hivyo kwa sasa hatoaminika.
Kwa vile maalim amekana haimaanishi kuwa hakufanya hivyo lakini ukweli ni kwamba wazanzibari wengi ambao katika kipindi hicho walikuwa kwenye uongozi hawakupenda kulizungumza kwa sababu za itifaki. Usaliti wake ulimfanya akapandishwa cheo na kuingia kwenye sekretreit nyeti za ccm lakini mwiso wa siku akagundulika hata kwenye hiyo sekreteriet alikuwa akitumia nafasi hiyo kuweza kuimarisha kamahuru na hitimisho lake ni kufukuzwa kwenye chama.
 
Kiasi cha kujua kwamba mtu akisema kuna gene ya ukali na upendo naweza kumuuliza anitajie jina la hiyo gene nitafute habari zake zaidi kuhakiki kama ipo kweli au ni habari za uzushi tu.
Kwa kuongezea, tena kinachorithiwa sio tabia tuu pekee had bodily vital organs factions zikiwemo strength na weaknesses za baadhi ya viungo depending on dorminant genes!. Mfano baba ukiwa kichwa ukaoa mama kichwa, mtoto atakayezaliwa anaweza kuwa kichwa kama baba, kichwa kama mama au kichwa kichwa mkatoa genius ila pia hata ilitokea baba ni kichwa na mama ni kichwa, ila kwenye bibi na babu kulikuwa na genes za kiazi, wazazi wote vichwa mnaweza kuzaa kiazi! .

Kwa kifupi ukubali, ukatae ziko tabia za kurithi kwa kuzaliwa nazo, hivyo hiyo inakuwa ni nature ya mtu ndivyo alivyo na amezaliwa hivyo huwezi kumbadilisha! . Miongoni mwa makabila wanaoongoza kwa kuwa na roho nzuri ni Wasukuma! .

Pasco
 
Unaweza kutaja hizo genes?

Maana isije kuwa una attribute effects za mazingira kwenye genes.

Naomba nitajie hizo genes.
 
Du!. Nipe muda nizame shule ya genetics, heredity na mutatations kisha nitakurudia na majina hadi jina la gene ya udikiteta, nitakuletea! .

Sasa umeanza kuyasema mambo ambayo hujayasoma bado halafu ukiulizwa ndiyo unaenda kuyasoma?

Ukienda kusoma na kukuta hakuna gene ya udikteta, halafu hapa ushaniahidi utanipa jina la gene ya udikteta, utasemaje?
 
Back
Top Bottom