Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,468
Kwa vile maalim amekana haimaanishi kuwa hakufanya hivyo lakini ukweli ni kwamba wazanzibari wengi ambao katika kipindi hicho walikuwa kwenye uongozi hawakupenda kulizungumza kwa sababu za itifaki. Usaliti wake ulimfanya akapandishwa cheo na kuingia kwenye sekretreit nyeti za ccm lakini mwiso wa siku akagundulika hata kwenye hiyo sekreteriet alikuwa akitumia nafasi hiyo kuweza kuimarisha kamahuru na hitimisho lake ni kufukuzwa kwenye chama.Hakuwahi kumpinga Jumbe akiwa hai hivyo kwa sasa hatoaminika.