Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,005
Hebu angalia video hii halafu toa maoni yako
Mkenda amejiuzulu?
kwa kosa gani wakati nchi inaenda utadhani gari lililokatika senta bolti !Mkenda amejiuzulu?
"Kibali hakitapita bora niachie ngazi" Vp vimeshapita nn na Jamaa bado kang'ang'ana na ofisi??kwa kosa gani wakati nchi inaenda utadhani gari lililokatika senta bolti !
"Kibali hakitapita bora niachie ngazi" Vp vimeshapita nn na Jamaa bado kang'ang'ana na ofisi??
Alihaidi kama tunda na ndoa yakekwa kosa gani wakati nchi inaenda utadhani gari lililokatika senta bolti !