Ushahidi: Timu Ya Yanga Haijaanza Kutembeza Bakuri Leo Wala Jana. Walianza Zamani Za Kale

Oxx

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
776
1,000
Mgecheza basi hata na polisi moro wakubwa wenzenu.
Hao vijana wa undertwenty si bado wadogo, yaani humo kuna wenye miaka 16, 17,18 na19.
Halafu wamkabe Ngoma mwenye uzito wa kilo zaidi ya mia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndo maana nakwambia hauwajui hao unawaongelea, ao Polisi Moro kwenye lig za mchangani huwa wanachezea 3 au mbili kwa ao watoto unaosema ww .... ....
 

Oxx

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
776
1,000
Sawa mkuu naona unawapamba sana. Nategemea tutawaona ligi kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni academy...... Aiwezi kupanda apo ndo walipozaliwa Kina Kapombe, Mbonde, Kessy, Kichuya, Juma Abdul, kado, Ndunda, na wengineo kibao wapo ligi kuu sasa hiv... Ata Serenget boys walitoa zaid ya wachezaji wa 5.....
 

Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
2,000
Hii timu tumekuwa tukishuhudia kila Mara ikitembeza bakuri kuomba msaada hasa Wa kifedha kutoka kwa wadau ili kuweza kuisaidia kusukumasukuma klabu. Ukifuatilia zaidi umaskini Wa timu hii ni Wa kihistoria
View attachment 556565
Tatizo lako lenu Mikia FC hamjui nguvu ya michango midogo kutoka kwa watu wengi.

Nawakumbusha tu baada ya kutembeza bakuli huo mwaka 1985, Young Africans SC ilinyakua ubingwa wa Tanzania Bara.

Tanzanian Premier League - Wikipedia
 

KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,525
2,000
upload_2017-8-3_15-3-44.png
 

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
3,836
2,000
Nyie mashabiki wa simba mnaoleta hoja hizi kuhusu yanga ni wa.senge sana,timu inayotegemea kutembeza bakuli ndo inayochukua ubingwa mara tatu tatu mfululizo na sie tupo hapa hapa na pesa zetu!!!
Use.nge huo mnaongea sasa ligi zikianza tutawasikia ati yanga wanahonga marefa na baadhi ya timu ili ipate mteremko hivi wanatumiaga pesa hizo hizo za bakuli au vepe???

TUPAMBANE NA HALI YETU SIMBA MANENO MANENO MENGI MWISHO WA SIKU YANGA BINGWA TUNABAKI KUTIANA MIPASHO WENYEWE KWA WENYEWE KAMA MASHOGA..waacheni yanga na mabakuli yao sisi cha maana tulichanacho ni nini??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom