Ushahidi Soweto Mh, Mbowe hadi lini?

Isalia213

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,198
431
Siku nyingi zimeshapita tangu kutokea tukio la kusikitisha kule Soweto Arusha, linalohusiana na kurushwa kwa bomu katika mkutano wa hadhara wa Chadema. Lengo langu sio kukumbushia machungu kwa wale waliopata hapana lengo ni kukumbusha ule ushahidi wa mh, Mbowe aliosema anao, naona siku zinasonga lakini hadi hii leo bado tunasubiria ushahidi kutoka kwa mh, Mbowe hatujauona.Tuseme alitania au muda haujafika wa kuutowa kwani tunahamu sana ya kujua ushahidi wa tukio lile. Mh, Mbowe tunaomba sana ushahidi kujua ni nani aliehusika na lile tukio.
 
Unapoanzisha Thread na kuuliza hili ni vema ukawa na kumbukumbu ya yaliyotokea
1. CHADEMA walitaka Rais aunde tume ya Kijaji/Kimahakama na watatoa ushahidi mbele ya hiyo Tume, lakini tume haikuundwa na kama ulisikia kauli ya Nchimbi alitamka kuwa kamwe haitaundwa tume. Sasa wewe unataka ushahidi wakupe wewe?

2. CHAGONJA alipewa kazi ya kufanya uchunguzi na kutoa majibu ya waliohusika na Tambua kuwa CHAGONJA ameishi ARUSHA kwa fedha kutoka kodi unazokatwa wewe, je uliwahi kuhoji taarifa ya CHAGONJA hadi sasa? na kumbuka kuwa CHAGONJA ameishaachana na shughuli hiyo na sasa amepelekwa TARIME kuchunguza na kumkamata yule mtu wao anayehusika kuwaua wafuasi wa CHADEMA.
 
Siku nyingi zimeshapita tangu kutokea tukio la kusikitisha kule Soweto Arusha, linalohusiana na kurushwa kwa bomu katika mkutano wa hadhara wa Chadema. Lengo langu sio kukumbushia machungu kwa wale waliopata hapana lengo ni kukumbusha ule ushahidi wa mh, Mbowe aliosema anao, naona siku zinasonga lakini hadi hii leo bado tunasubiria ushahidi kutoka kwa mh, Mbowe hatujauona.Tuseme alitania au muda haujafika wa kuutowa kwani tunahamu sana ya kujua ushahidi wa tukio lile. Mh, Mbowe tunaomba sana ushahidi kujua ni nani aliehusika na lile tukio.

Wewe ni kambi gani kati ya CCJ na CCM Mafisadi?
 
Mbowe hana ushahidi wowote, Lile bomu, ni LEMA na washirika wake ndio waliolipua.
 
Nakumbuka police walisema Mbowe watamfikisha mahakamani kwa kuwasingizia police kurusha bomu. Kwa nini Hawajamfikisha hadi sasa?
 
Hiyo nondo inasubili ifanye kazi maridhawa 2015. Mikanda itasambazwa nchi nzima na kuonyeshwa kila pahali ili watu wajue unyama wa CCM. Tenda ya kuziandaa tayari imepewa kampuni moja ya nje ya nchi.
 
Siku nyingi zimeshapita tangu kutokea tukio la kusikitisha kule Soweto Arusha, linalohusiana na kurushwa kwa bomu katika mkutano wa hadhara wa Chadema. Lengo langu sio kukumbushia machungu kwa wale waliopata hapana lengo ni kukumbusha ule ushahidi wa mh, Mbowe aliosema anao, naona siku zinasonga lakini hadi hii leo bado tunasubiria ushahidi kutoka kwa mh, Mbowe hatujauona.Tuseme alitania au muda haujafika wa kuutowa kwani tunahamu sana ya kujua ushahidi wa tukio lile. Mh, Mbowe tunaomba sana ushahidi kujua ni nani aliehusika na lile tukio.
Na ule ushahidi wa mbinguni na duniani vipi..???
 
Back
Top Bottom