Probably waliomnyonga karegeya ni hao extremist wenzako ili mpate garbage za kuongea,kagame is no fool to murder or commit such errors za kuua kina karegeya,nyamwasa or karegeya are non threat to Kigali ni fisadis tuu waliokimbia nchi kwa makosa yao and I feel sorry for the guys maana watakuwa sacrificed na interahamwe to rally their troops, is a very foolish game ndugu zako wanacheza lakini they are ruthless,hope nyamwasa atashtukia kabla hawajammaliza
Siwashangai kukataa kila kitu. Hata mambo anayotenda PK kwa uwazi mnayakataa kwa vile muda muafaka haujafika. Kukataa kila kitu kwenu ni kama sera ndiyo maana bila aibu mnaendelea kukana kuhusika hamkumuua Seth Sendashonga, Karegeya na kumpiga risasi Kayumba ukiachilia mbali mauaji mengine lukuki. Hata kuwaunga mkono M23 mlikuwa mnakataa lakini sasa hivi liko wazi kimataifa na suala lililobaki ni jinsi tu ya kumtia PK nguvuni. Ni rahisi RNC kushirikiana na FDLR kuliko kufanya kazi pamoja na RPF. Hata kama FDLR ni wanafiki lakini ni afadhali kuliko PK na genge lake. Muda si mrefu RPF itakuwa declared kama terrorist organization.