Ushahidi Mwaka 2020 Hali Itakuwa Mbaya zaidi.Busara hii itumike.

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Ni wazi uchaguz wa mwaka 2020 utakuwa ni uchaguzi ambao CCM itashinda kwa kishindo kikubwa sana karibia katika nyanja zote za uchaguzi. Yaani tukianza na uchaguzi wa Madiwani,Wabunge na Urais.

Wapinzani na Serikali itumike busara. Tuokoe pesa za watanzania hawa màskini...baadhi ya maeneo uchaguzi usifanyike kabisa.ya nini kupoteza pesa za walipa kodi bure tu?

Nadhani wapinzani waonane na Mh Rais wamuulize ni majimbo gani ya Ubunge atawaachia.ili huko tu ndo wasimamishe wagombea.na akiyataja basi waandikishane kabisa hayo majimbo ambayo Mh Rais ataamua kuwaachia.

Huko ndo wakasimamishe wagombea na kampeni zifanyike.yale maeneo mengine wasisumbue na kuhatarisha maisha ya raia bure.wasipoteze pesa za watanzania.

Najua kwa ushauri huu Tume ya Uchaguzi na wakurugenzi wanaposoma wanakunja ndita.maana nao watapigia wapi pesa?report ya CAG.

Kisha wakubaliane na mh Rais kuwa hizo pesa zinazobaki ambazo hazitaenda katika uchaguzi basi zipelekwe maeneo mengine ya kusaidia watanzania.ikiwa ni pamoja na kuongeza salary au ajira mpya.waandikishane kabisa.ili mh asije shawishiwa kununulia birds kama zile bomber dear au boy ing.

Ya nini mzidi wataabisha watanzania hawa ambao tayari wana tabu zao fpr nothing?ya nini wakachakazwe na polisi kwa vipigo?ya nini wawe treated kama mbwa koko? Wanasiasa muwe na huruma.mkifa leo na kesho maiti zenu ni bure.zitaoza tu kama za mbwa zinavyooza.

Hivi umewahi kuwaza mnaenda kucheza mechi ya mpira wa miguu na team A ndo inamiliki uwanja, ndo imechagua refarii na wasaidizi wake, ndo imenunua lile kombe lililopo uwanjani,mgeni wa heshima ni mwenye team.

Halafu unagundua refarii ni kocha wa team pinzani.hata mpira mnaotumia ni wao? Unafaham mazingira ya kushinda hiyo mechi ni mpaka sir God mwenyewe aamue kuingilia?

Unaweza wewe mchezaji wa team B ukafanya rafu katikati ya Uwanja.refa akatizama ile rafu akaona kwa busara yake ni rafu mbaya kupata kutokea duniani.hivyo mchezaj wako atolewe nje kwa kadi nyekundu.na kama haitoshi apigwe virungu miguuni ili asije tena cheza rafu ndani ya uwanja maisha yake yote.

Kisha kwa busara hiyo ya refa pamoja na kuwa ile rafu ilifanyika katikati ya uwanja anaamua iwe penalty golini kwenu.na kuonesha msisitizo wa adhabu anapiga hatua miguu sita tu na kutaka hata kipa wenu asikae golini kuzuia?

Sasa nyie mnacheza mechi kama hiyo ya nini?mnapochezewa rafu refarii anatoa adhabu kwenu kwa sababu mmecheza kuwashawishi wachezaji wa team A wapandwe jazba wacheze rafu?sasa chukulia hii team mlishakutana nayo kwenye hatua za makundi.mkakutana na vimbwanga hivi.mkafungwa bao 30 kwa bila.

Leo mnakutana nao tena uwanjani mnaenda kucheza ili iweje? Kukamilisha ratiba? Kwa nini msingewaacha tu wachukue kombe lao nyie mshike nafasi ya mshindi wa pili?

2020 ni uchaguzi wa hatari sana ..kuna wananchi watachakazwa kwa kauli za mzee mmoja mhuni mlevi wa cheo ambaye hudhani watoto wa wenzake ni sawa na mbwa koko.

Wanasiasa hamkujifunza kitu chaguzi hizi ndogo? Basi hamtajifunza tena.
 
Gudume umejidharirisha sana hapa mkuu,uchaguzi upo kwa mujibu wa katiba
Ingekua hivyo basi huko ulaya walikoendelea na wana performance za juu sana sijui kama wangefanya uchaguzi?
 
🙏🙏🙏
Dharirisha = Dhalilisha

Gudume umejidharirisha sana hapa mkuu,uchaguzi upo kwa mujibu wa katiba
Ingekua hivyo basi huko ulaya walikoendelea na wana performance za juu sana sijui kama wangefanya uchaguzi?
 
Mkuu Gudume nimekusoma between the lines. Naona umeweka wazi kabisa kwamba hiyo 2020 hakuna uchaguzi bali uchafuzi. Hapa nilipo nahakikikisha nashusha wapiga kura kwa kiwango ninachoweza huku nikiwapa njia mbadala ya kupata viongozi, kwani box la kura sio njia sahihi tena ya kupata viongozi ndani ya nchi yetu.
 
Sio kwamba ccm watashinda Bali watapora matokeo ,na kushinda viti watakavyoamua wao. Watawaachia upinzani viti si zaidi ya kumi kama watapenda . Lakini Tanzania tuliomba raid dictator sasa tumempata, Mungu hataniwi , ila angekuwa benovelent dictator kama Lee Kuan Yew Wa Korea au Mahathir Mohamed walioendeleza nchi zao ingekuwa nafuu. Sasa huyu anatuumiza physically and economically hatuna pa kupumulia . IMF waliosema uchumi Wa Tanzania unakua kwa 4% 2019 na 2020 ingekuwa ni Taasisi ya humu ndani wangesulubiwa kwa sheria ya takwimu, ila wale Mkuu hawawezi. Tungekuwa na utajiri Wa mafuta kama Nigeria wangeanzisha Boko Haram na kuwafadhili lakini hapa Tz hawana maslahi makubwa kwao watatuacha tuumizane tunavyopenda .Au ingekuwa Kuwait au Libya SAA hizi maowari za Marekani zingekuwa bahari yetu kujiandaa kutoa utawala unaozuia makampuni yao kupora. Lakini kama taifa tukisurvive awamu ya 5 tumejifunza bora aina ya mzee Wa Msoga aikuza uchumi 7% kwa miaka yote. Akatuambia ukitaka kula lazima uliwe. Huko aliko atakuwa anacheka ingawa hatakwepa laana ya kushindwa kuacha nchi kwenye mikono salama kama waliomtangulia. Unamjua MTU ni bulldozer akiwa chini ya MTU halafu unamwachia nchi akiwa kwenye maamuzi ya mwisho? . dhambi hiyo itamtafuna , bora hata Lowassa tusingefika hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Bashiru wa Sudan alingangana mwisho amefyatuliwa majimbo ya upinzani yameongezeka,
ruhusu tume huru uone maajabu!!
Hivyo hivyo watademadema!!
 
Nlijifunza kitu katika kusoma nyuzi zako. Kama akili za hawa vijana wetu wa sasa hawawezi kukuelewa na watakushushia matusi mpaka mwenyewe ushangae. Upeo wao mdogo sana

Unachokisema ni kweli naamini hili jambo kama watalifikiria kwa akili watalielewa na kuja na solution nzuri.ni kweli uchaguzi wa 2020 CCM itashinda majimbo mengi kwa hali na mali kiasi kwamba unaamini haina haja ya wapinzani kuumiza wananchi sababu hakuna mkurugenzi atakayekuwa tayari jimbo chini yake liende upinzani.

Watu wengi hawajakuelewa na hawatakuelewa sababu akili za kusoma between the lines wengi hawana....magufuli kashasema hawezi lipa mkurugenzi halafu jimbo liende upinzani...nyie mnadhani mnashindaje kwa kura? Muwe mnatumia akili kusoma.

Ni wazi uchaguz wa mwaka 2020 utakuwa ni uchaguzi ambao CCM itashinda kwa kishindo kikubwa sana karibia katika nyanja zote za uchaguzi. Yaani tukianza na uchaguzi wa Madiwani,Wabunge na Urais.

Wapinzani na Serikali itumike busara. Tuokoe pesa za watanzania hawa màskini...baadhi ya maeneo uchaguzi usifanyike kabisa.ya nini kupoteza pesa za walipa kodi bure tu?

Nadhani wapinzani waonane na Mh Rais wamuulize ni majimbo gani ya Ubunge atawaachia.ili huko tu ndo wasimamishe wagombea.na akiyataja basi waandikishane kabisa hayo majimbo ambayo Mh Rais ataamua kuwaachia.

Huko ndo wakasimamishe wagombea na kampeni zifanyike.yale maeneo mengine wasisumbue na kuhatarisha maisha ya raia bure.wasipoteze pesa za watanzania.

Najua kwa ushauri huu Tume ya Uchaguzi na wakurugenzi wanaposoma wanakunja ndita.maana nao watapigia wapi pesa?report ya CAG.

Kisha wakubaliane na mh Rais kuwa hizo pesa zinazobaki ambazo hazitaenda katika uchaguzi basi zipelekwe maeneo mengine ya kusaidia watanzania.ikiwa ni pamoja na kuongeza salary au ajira mpya.waandikishane kabisa.ili mh asije shawishiwa kununulia birds kama zile bomber dear au boy ing.

Ya nini mzidi wataabisha watanzania hawa ambao tayari wana tabu zao fpr nothing?ya nini wakachakazwe na polisi kwa vipigo?ya nini wawe treated kama mbwa koko? Wanasiasa muwe na huruma.mkifa leo na kesho maiti zenu ni bure.zitaoza tu kama za mbwa zinavyooza.

Hivi umewahi kuwaza mnaenda kucheza mechi ya mpira wa miguu na team A ndo inamiliki uwanja, ndo imechagua refarii na wasaidizi wake, ndo imenunua lile kombe lililopo uwanjani,mgeni wa heshima ni mwenye team.

Halafu unagundua refarii ni kocha wa team pinzani.hata mpira mnaotumia ni wao? Unafaham mazingira ya kushinda hiyo mechi ni mpaka sir God mwenyewe aamue kuingilia?

Unaweza wewe mchezaji wa team B ukafanya rafu katikati ya Uwanja.refa akatizama ile rafu akaona kwa busara yake ni rafu mbaya kupata kutokea duniani.hivyo mchezaj wako atolewe nje kwa kadi nyekundu.na kama haitoshi apigwe virungu miguuni ili asije tena cheza rafu ndani ya uwanja maisha yake yote.

Kisha kwa busara hiyo ya refa pamoja na kuwa ile rafu ilifanyika katikati ya uwanja anaamua iwe penalty golini kwenu.na kuonesha msisitizo wa adhabu anapiga hatua miguu sita tu na kutaka hata kipa wenu asikae golini kuzuia?

Sasa nyie mnacheza mechi kama hiyo ya nini?mnapochezewa rafu refarii anatoa adhabu kwenu kwa sababu mmecheza kuwashawishi wachezaji wa team A wapandwe jazba wacheze rafu?sasa chukulia hii team mlishakutana nayo kwenye hatua za makundi.mkakutana na vimbwanga hivi.mkafungwa bao 30 kwa bila.

Leo mnakutana nao tena uwanjani mnaenda kucheza ili iweje? Kukamilisha ratiba? Kwa nini msingewaacha tu wachukue kombe lao nyie mshike nafasi ya mshindi wa pili?

2020 ni uchaguzi wa hatari sana ..kuna wananchi watachakazwa kwa kauli za mzee mmoja mhuni mlevi wa cheo ambaye hudhani watoto wa wenzake ni sawa na mbwa koko.

Wanasiasa hamkujifunza kitu chaguzi hizi ndogo? Basi hamtajifunza tena.
 
Aise kwa mtazamo huo bora tushinde tu viti vyote kwa sababu mna macho hamuoni, Gu dume nimemuelewa kama angeishia pale aliposema CCM itashinda, si kwa wizi kama mnavyodai bali kwa kura halali kabisa ila tutamshauri JPM asihangaike na ziara za kuomba kura anazo nyingi saana wala hilo hatuna mashaka nalo. pale ambapo mlishindwa kuingoa CCM mwaka 2015, kutoka kwake si katika kizazi hiki yaani mtapata taabu saana kuitoa CCM.
 
Back
Top Bottom