Ushahidi mahakama ya kadhi ilikuwepo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi mahakama ya kadhi ilikuwepo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MNYISANZU, Dec 30, 2011.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huu ni mjadala. Wenye hayo madai waweke hizo evidence hapa.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu ziliwahi kuwepo. Nakumbuka zilikuwa nyingi na moja ilikuwa huko mkoani mara mjini musoma ambako waislamu siyo wengi. Muulize sheikh Basalehe atakwambia na atakupa na vipande vya magazeti vinavyoonyesha ushahidi!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Angalia hii Mkuu:

  Tatu, Serikali
  ya wananchi ilikuwa na Sera yake madhubuti juu ya Serikali za
  Mitaa. Ilibidi ichukue hatua kadhaa katika kutekeleza Sera hiyo.
  Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na:-
  (i) Kuwaondolea madaraka ya kiutawala machifu, maliwali na
  majumbe na kuwafanya kuwa viongozi wa kitamaduni au
  kidini tu;
  (ii) Kuanzishwa kwa uchaguzi wa Madiwani katika Halmashauri
  zote zilizokuwa zimeandikishwa na Serikali ya Kikoloni;
  (iii) Kuanzisha Mahakama ya Mwanzo na kuondoa Mahakama
  za Wenyeji (Native Courts) zikiwemo Mahakama ya Liwali
  au Kadhi; na

  (iv) Kuundwa kwa Halmashauri katika Wilaya au Miji ambako

  Source: http://www.tanzania.go.tz/wizara/tamisemi.pdf
   
 4. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  MNYISANZU. Sasa ww upo upande gani? Au ndio ktk walee wanaochonganisha watu, kisha wao wanakaa pembeni, wanaangalia Movie?
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mnyisanzu alikuwa anataka ushahidi tu na nadhani ameupata na huenda huu ndio mwisho wa mjadala na mwisho wa huu uzi!!
   
 6. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kweli, dalili zinaonesha ni hivyo.
   
Loading...