Ushahidi kuwa ccm imeshindwa kazi - kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi kuwa ccm imeshindwa kazi - kigoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bwegebwege, May 14, 2011.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wana JF

  Nimekuwa nafuatilia sana POSTS zinazowekwa kwenye ukurasa wa NAPE NNAUYE pale Facebook! Ni vichesho vitupu! Na wanaomsifia wote ni wana-CCM tena wengine tunawajua....

  Kinachonikisikitisha ni jinsi wananchi walivyokosa uelewa kwamba CCM SIYO MKOMBOZI WA WANANCHI TENA!! Jamaa mmoja (Athumani Hamza ) amepost hii comment hapa chini...ni masikitiko lakini ni ushahidi kwamba CCM IMESHINDWA KAZI!! CDM HEBU WAMWAGIENI UPUOU HAWA WATOKE!!!!

  Athman Hamza
  Kaka hongera kwa Post na Speed nzuri uliyoanza nayo. I know its a tough post but kwa Kijana kama wewe sina shaka utaiweza.
  Kaka huku Kigoma kumezuka ugonjwa wa Ajabu ambapo watu wanawashwa na kuvimba mwili. Watu wanajua ila wamegundua kua ukila priton au kupaka majivu hauwashwi. Sidhani kama Serikali ipo mkoani hapa. Wananipa wakati mgumu kuona kama kweli wanania ya kumsaidia Rais kuboresha maisha ya wana Kgm.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sioni tatizo la post hii. Jamaa alikuwa ana-express maoni yake na kueleza matatizo yaliyopo Kigoma na jinsi matatizo hayo yanavyoweza kumsababishia shida Rais kwa vile wale wanaotakiwa kuyasimamia na kuyatatua wanapiga usingizi. Lakini najiuliza, thread hii ilikuwa inataka ku-achieve kitu gani?
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Usemi kwamba "Rais anaangushwa na walio chini yake" unanikera sana! Nionavyo mimi tatizo si kuangushwa bali anawafanyia nini wanaomwangusha!
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu hujamuelewa au umefanya kichwa chako kisielewe!??
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Labda na wewe hujaelewa mimi nasema nini!
   
 6. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh!!......................
   
 7. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Uliyoyasema mkuu ni sawa kabisa hata mimi inanikera kupita maelezo. Tatizo kaka ni "MFUMO" kiasi kwamba akiwawajibisha mfumo utamtolea macho, nakupa mifano michache, siku zile tuhuma za ufisadi na JK akaonesha cheche zake japo kwa uhaba kama unakumbuka yalisemwa mengi sana na viongozi wa dini hawakuonesha ushirikiano na serikali katika maamuzi, pili ni juzi juzi hapa Magufuri kataka kutekeleza wajibu wa kazi zake kwa mujibu wa sheria nadhani unakumbuka alivyochenjiwa na matokeo yake aliuchubua. hapa panahitaji maelezo mengi kwa ufupi naishia hapo.
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bucha; hii ngoma si rahisi kama unavyofikiria.
  Najuia Kikwete anauwezo wakuwapeleka hata mahakamani mafisadi. tatizo ni tabia ya watanzania ukiwemo wewe. nivigeugeu. Alianza vizuri tu kwa kuwapeleka mahakamani akina mramba, yona, mgonjwa (mgonja), zombe, mahalu, kayumba(liyumba) lakini mwenyewe ni shahidi jinsi mlivyomchenjia. mara kawaonea wachaga mara pumbafu yenu. sasa maendelea kuleta porojo zenu humu. mimi nasema hivi. Rais Kikwete kaa ikulu ikiwezekana lala kabisa usingizi kwani mTZ ni MAVIgeugeu. Muda wako ukifika kajipumzikie. kwa hamna sapoti ya hii mTZ. Full stop. KAMA NIMEKUKERA LEAVE ME ALONE.
   
 9. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ye mwenyewe si yumo kwenye list of shame?, akina Mramba hao ni mbuz wa kafara we subiri uone mwisho wa picha, Liyumba kasababisha hasara ya mabilion kwa taifa kafungwa miaka mingapi?, huu si usanii?, chenge kaua et kalipishwa vilaki, kwel maisha ya watu 2 ni sawa na pesa aliyoambiwa alipe?, je pesa huthaminishwa na uhai wa binadam? Now baada ya katiba mpya tunataka na maboresho ya sheria zetu il zisiwanufaishe vigogo.
   
 10. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huitaji mwendesha mashtaka yeyote kuona ushahidi wa kushindwa kwa ccm nchi nzima, popote ulipo ukiangalia kushoto na kulia unauona ushahidi w kushindwa kwa serikali ya ccm wasukuma wanasema (jiji njemu)
   
 11. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,582
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Wacha UONGO na FITINA nani alilalamika?
  Mbona mnakuwa manongea vitu visivyokuwa na UKWELI?
   
Loading...