Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

Nilishakata shauri mie na nyumba yangu ni kwa wa Malawi tu. Wale wa kulala hapo hapo.

Hiyo kidogo imetupunguzia msongo wa mawazo na mashinikizo ya damu ya reja reja, hawa wa kwetu unaamka asubuhi unakutana na barua dada amepotea. ( hapo haujaongelea usumbufu wa nauli uliyotuma ).

Mwingine anasema anaenda kusalimia kwao, mnamfungaishia vitu na pesa ya ziada anavyoenda kusalimia kwao, akirudi anakaa siku mbili anaondoka.

Mbaya zaidi wakishaondoka baada ya miezi miwili au mitatu, wanataka warudi tena. Hilo kosa sijawahi lifanya, bora tuhangaike ila sio kukurudisha.

Hawa wa Malawi kuna mtu anatutafutia ni mmalawi ila ameishi huku mda mrefu na kwa vile anatuelewa vizuri, hajawahi kutuangusha.

Tunashukuru hatujawahipata tukio la kupigwa na kitu kizito au cha ncha kali.
 
Subiri mashtaka ya kuhifadhi wahamihaji haramu
 
Yaje tu Boss wangu. Ntakua tayari kukabiliana nayo kuliko kero na usumbufu unaojitokeza pindi hawa wa kwetu wanapo lala mbele.

Hata hivyo hii biashara muda si mrefu itafikia tamati, dogo wa mwisho ana miaka mitano anaelekea sita.

Stress zitapungua.
 
Mzee baba mpaka umefikisha mabinti wote hao na changamoto zao hizo huachi kuwatumia madalali?. Huna ndugu zako au ndugu wa mkeo wakatafte mabinti huko makwao ?. Achana na madalali hao ni zaidi ya danger.
Mkuu kuna baadhi ya madalali ambao ni invisible, nakuja kugundua kuwa ni matapeli wakati tayari nimeishatapeliwa. Na wengine ni ndugu wa karibu lakini wanadririki kunifanyia uhuni. Dunia haina wema.
 
Sijamaliza kusoma maelezo yote ila nilipoelewa tu unachokizungumzia basi inatosha

Ushauri wangu chukueni kijijini kwenu wadada wa kazi... au ndo kizazi chenu chote kimezaliwa jijini hamna mjomba wala shangazi kule mkoani akawatafutia dada wa kazi
Asante kwa ushauri mkuu lakini hawohawo wajomba na ndugu ndio wakati mwingine hugeuka madalali uchwara na kuniingiza mujini bila shuruti. Inauma sana.
 
Jitahidi uwe na nyumba yako na uweke fensi ya maana, dada wa kazi ukitoka kwenda kazini unamuacha huko ndani ya geti Unafunga Geti unasepa na funguo zako.

Kama anaweza aruke ukuta atoroke aone kama ni rahisi, hii mbinu nilikua naiona ya kinyama enzi Aunt angu anaitumia kwake.

sikuwahi muelewa ukijumlisha aunt ndo mtu yenye pesa mingi mingi na roho yake ilikua ya Kama HAKIMU wa mahakama kuu.

Kumbe alikua na maana kubwa sana, sasa ndio naelewa kwann alikua akifanya vile...

Mkuu pambana tia Ukuta nyumba hiyo hizi dada za kazi zikiingia kwako ndio kafika huyo.

Kingine Muhimu kuajiri dada wa kazi mmoja ni tatizo, nyumba inatakiwa iwe na dada wa kazi wawili na sio chini ya wawili.

dada wa kazi akiwa mmoja basi hiyo nyumba isiwe na mtoto ila kama nyumba ina mtoto dada wa kazi hawatakiwi kuwa chini ya wawili.

Nilikua nikidhani ni ufahari kuona nyumba ina wasaidizi hadi wa 4 ila sasa naelewa kwann waboss wanaojielewa hawaajiri House girl mmoja.

Mkuu Anza leo Hakikisha unaajiri zaidi ya dada wakazi m1, kuna faida nyingi utazipata kuliko ukiajiri mmoja. Niko na vivid example hapa. Try n See.
 
Asante kwa ushauri mkuu. Kwa kweli wadada wa kazi wa siku hizi ni wasumbufu sana na ukijumlisha na utapeli wa mawakala tatizo linakuwa kubwa zaidi.
 
Biashara nzima imejaa UTAPELI.

Siyo biashara rasmi.

Mishahara yenyewe mabosi wanalipa 20,000. Halafu wanaajiri sana watoto.

Muhimu.serikali ingerasmisha tu hii kazi ili watu wafanye kazi kama kazi rasmi na walipwe stahiki zao.
Hapo napo pana tatizo maana kuna baadhi ya mabosi huwa treat vibaya wasichana na wakati mwingine kutowalipa malimbikizo ya mishahara. Ni utapeli kila kona.
 
Dada wa kazi, hasa hawa wa kununua kwenye mitandao ni genge la wahalifu. Wamewahi kuniliza pakubwa sana.
 
Nilisha kubali mtakeo hapa nakusanya pesa niweze kurudisha hiyo TV hara sijui ntaipata kwa shilling nyumbani bila TV hao wandao wa katuni nyumbani hawanielewi kabisa. Wanacho taka ni TV hapo mshahara wa Nov wote unaenda kununua Tv duh
Niagiza nikuletee samsung smart 55 kwa milioni moja
 
Jitahidi uwe na nyumba yako na uweke fensi ya maana, dada wa kazi ukitoka kwenda kazini unamuacha huko ndani ya geti Unafunga Geti unasepa na funguo zako.

Kama anaweza aruke ukuta atoroke aone kama ni rahisi, hii mbinu nilikua naiona ya kinyama enzi Aunt angu anaitumia kwake.

sikuwahi muelewa ukijumlisha aunt ndo mtu yenye pesa mingi mingi na roho yake ilikua ya Kama HAKIMU wa mahakama kuu.

Kumbe alikua na maana kubwa sana, sasa ndio naelewa kwann alikua akifanya vile...

Mkuu pambana tia Ukuta nyumba hiyo hizi dada za kazi zikiingia kwako ndio kafika huyo.

Kingine Muhimu kuajiri dada wa kazi mmoja ni tatizo, nyumba inatakiwa iwe na dada wa kazi wawili na sio chini ya wawili.

dada wa kazi akiwa mmoja basi hiyo nyumba isiwe na mtoto ila kama nyumba ina mtoto dada wa kazi hawatakiwi kuwa chini ya wawili.

Nilikua nikidhani ni ufahari kuona nyumba ina wasaidizi hadi wa 4 ila sasa naelewa kwann waboss wanaojielewa hawaajiri House girl mmoja.

Mkuu Anza leo Hakikisha unaajiri zaidi ya dada wakazi m1, kuna faida nyingi utazipata kuliko ukiajiri mmoja. Niko na vivid example hapa. Try n See.
Sasa hapa si atakuwa kama yupo kifungoni mkuu? Watetezi wa haki za binadamu watakuja kukuandama.
 
Unapangwa na dalali kumbe binti yuko Chamazi tu hapo unapigwa 80k ya nauli halafu akija baada ya siku.4 anafanya kituko anaondoka

Well said,kuna kampuni Arusha wanaitwa DAREF ofisi yao ipo Ngulelo,hawa wanatafuta wasichana na ni wadada wa mjini wewe unadhani wametoka kijijini,unawalipa laki 40 mshahara wa dada wao wanampa 90 kila mwezi na hapo umeshalipia elfu 50 ya ofisi pia.Dada unakuta hana mafunzo yoyote unaanza from the scratch,na wadada hawakai ni wavivu na kutoa sababu ooh nimefiwa na blah blah!Kwakweli utapeli ni mwingi na unyonyaji pia!Na unakuta anajua kabisa huyu dada katoka nyumba nyingine kwa shida but hakuambii mpaka yakukute!
 
Hawa ndio maana nazinguana nao sana huku mtaani, yani kupitia tatizo lako wanataka nao watatue matatizo yao hapo hapo

Kuna wale anaitwa sungusungu, kila nyumba mwisho wa mwezi wanapitia buku mbili kwa ajili ya ulinzi. Siku ukiibiwa ukasema uwaite wakusaidie kupatikana mali yako wanakupiga hela tena halafu hawajishughulishi na kutafuta

Hiyo TV mpaka hapo imeibiwa na hao mamwela
Nenda kwa Mkuu wa Wilaya itarudi hiyo Tv

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom