Ushahidi juu ya Aliens wazidi kufichuka: Uwanja mkubwa wa Ndege za Anunnaki wagunduliwa Lebanon. Umejengwa kwa matofali yenye uzito wa tani 1,600

hayo tu unashangaa unaambiwa Hawa viumbe ndio walio mproject Binadamu Caucasians (Wazungu & co )ndio Hawa Hawa walio watoa watu (Blacks)
Wa pale Oldupai gorge karibu na Bustani za Eden Ngorongoro na Serengeti wakamwongezea DNA Zamadam akaja kua homo sapiens kamili na wakampa mission Kule kush na Zimbabwe ya kuchimba Dhahabu hao viumbe Wana story usizoambiwa popote,
Wewe unadhani wamisri wa kale walipata wapi ujuzi mpaka wakajenga Pyramids?
Kuna makubwa tukiamua kuyafukunyua hapa utaona ni kufuru kikubwa usiwe brain washed tu propaganda za dini utaambiwa na utapata madini adimu!
Hakuna kitu kama hicho!Dini ilishamaliza yote.
 
Kakojoe ulale Bado mtoto sana Wewe kwenye mambo Haya,Wewe unamjua alieanzisha dini?
Kwa taarifa Yako hiyo dini unayosema imemaliza ilianzia Misri na wao ndio waliandika Kila kitu Miaka 5000 BC Huko hao wa dini Yako walikusanya maandiko ya kale ya wamisri na kuyaingiza kwenye kitabu chenu Karne ya tano AD juzi hapo Byzantine kwenye Nicea committee!
Tafuta maarifa acha kua brain washed na nyumbu Arif!
😁😁😁
 
Hata mimi nilisha-conclude hao jamaa wapo na wana akili na teknolojia kubwa kuliko sisi. Shida huwa najiuliza kwa nini hawajawahi kurudi kutujaribu kwenye vita na wanadamu? Je, wanajua sisi ni hohe hahe kwenye teknolojia ama?
Wataalam wanadai uzito wa matofali hayo, unaleta shida kufikiria teknolojia iliyotumika kuyabeba, kuyaleta na kuyapanga hayo hayo matofali ni kubwa na vitu vilivotumika ni vizito sana ambako mpaka sasa hakuna teknolojia ya kubeba uzito kama huo.
wapo hapa duniani wengi tu
 
View attachment 890436
Magofu ya Uwanja wa Baalbek, Lebanon

Nchini Lebanon, eneo la Baalbek, kuna magofu ya Uwanja mkubwa wa Ndege ambao wajenzi wake hawafhamiki. Hata hivyo, hudhaniwa kuwa, ni Uwanja uliokuwa ukitumiwa na Waanunnaki (Aliens) kutoka anga za mbali.
Ripoti zinaeleza kuwa, ujenzi wa Uwanja huo ulitumia vifaa vizito mno na ambavyo kwa teknolojia iliyopo leo hii duniani bado haipo. Msingi wa Uwanja huo umejengwa kwa matofali mazito ya hadi tani 1,600 kila tofali. Tofali kubwa kuliko yote lina urefu wa mita 20, upana mita 2 na kimo mita 2 pia.
Matofali hayo yamejengwa kwa kulazwa kama ulivyo ujenzi wa kuta za nyumba na pia misitari ya kila tofali imenyooshwa kiasi cha kustaajabisha wajenzi wa leo.

Gigantic Horizontally Lying Stones Of Ancient City Of Baalbek | Ancient Pages

Hii inaonyesha wazi kuwa kuna majamaa menzetu huko nje ya Solar System, yanaendelea na maisha yao huko yaliko.
Kukataa kufundisha masuala haya mashuleni labda nako kunachelewesha kuuhabarisha umma

View attachment 896978
View attachment 898628
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Nimerejea karibuni, sijasoma majibu na michango yote ndani ya mada hii. Kwa hiyo mniwie radhi kama ntakachojadili ni marudio.

Sijajua maandiko na hadithi za dini nyinginezo nje ya wakristo. Kwa wakristo, tunaambiwa baada ya ile vita kuu mbinguni, Malaika walitupwa duniani na walizaa na wanadamu - matokeo yake majipande ya watu. Kwa nini leo hii kila wakichimbua magofu kama haya - hatuwazii hawa viumbe niliowataja? Si walitoka nje ya sayari yetu? Tunapenda sana kuwaamini wenye hadithi za 'aliens' bila kuchambua historia yetu hapa duniani.

Kibiolojia, sijui kama kuna uhusiano, Pituitary Gland ikienda mrama, moja ya madhara ni kukua mwili sana
 
Wewe nae vipi hao unaowaita Malaika, maserafi, Lucifer na magenge Yao Kwa dini yenu na walikuja duniani zama hizo ndio hao Hao Alliens walioivamia Dunia enzi hizo sema Huko wameandikwa Kwa style nyingine Kuna kisa Cha baadhi ya Alliens kupigana vita Kali kwenye sayari Zao na wakaziharibu na wakabaki wachache Sasa wakakimbilia duniani mfano wao ni mijusi wenye akili nyingi sana wanaoitwa Sirians walitoka sayari ya Sirius B na wakaja kujenga underground bases chini ya bahari na kuishi humo na inasadika Hawa viumbe Wana vizazi vyao hapa hapa maana wakichanganya DNA na binadamu na ndio maana Kama umewahi sikia tetesi Kuna baadhi ya familia kubwa za Wazungu matajiri sana Wana damu za mijusi na mpaka hayati Hugo Chavez aliekua rais wa Venezuela alipokua kwenye mkutano wa UN akaropoka na kusema
"Nahisi Kama Shetani kapita karibu yangu"
Yule mtu aliekua anahisiwa alikua ana damu ya mijusi au alikua mjusi mwenye umbo la kibinadamu maana wale viumbe wanauwezo kubadilika kama vinyonga na kuvaa miili ya binadamu maana Wana technology kubwa sana

Kwahiyo hapo pata picha ya upande wa pili wa shilingi utapata mambo mengi sana ambayo hutaambiwa popote zaidi ya wewe kutafuta source tu nabuunganishe dot.
 
Chavez alimtaja George Bush Jr
 
Haya Mambo yanahitaji muda mzuri na wa uhakika ili kuweza kufuatilia zaidi kuhusu taarifa za namna hi...inakubidi akili yako iwe huru zaidi ili kufahamu ukweli, kwa maana taarifa za namna hii zinatofautiana Sana na imani za watu wengi hasa imani za kidini...lazima uwe na fikra huru...
 
Wewe nae vipi hao unaowaita Malaika, maserafi, Lucifer na magenge Yao Kwa dini yenu na walikuja duniani zama hizo ndio hao Hao Alliens walioivamia Dunia enzi hizo sema Huko wameandikwa Kwa style nyingine Kuna kisa Cha baadhi ya Alliens kupigana vita Kali kwenye sayari Zao na wakaziharibu na wakabaki wachache Sasa wakakimbilia duniani mfano wao ni mijusi wenye akili nyingi sana wanaoitwa Sirians walitoka sayari ya Sirius B na wakaja kujenga underground bases chini ya bahari na kuishi humo na inasadika Hawa viumbe Wana vizazi vyao hapa hapa maana wakichanganya DNA na binadamu na ndio maana Kama umewahi sikia tetesi Kuna baadhi ya familia kubwa za Wazungu matajiri sana Wana damu za mijusi na mpaka hayati Hugo Chavez aliekua rais wa Venezuela alipokua kwenye mkutano wa UN akaropoka na kusema
"Nahisi Kama Shetani kapita karibu yangu"
Yule mtu aliekua anahisiwa alikua ana damu ya mijusi au alikua mjusi mwenye umbo la kibinadamu maana wale viumbe wanauwezo kubadilika kama vinyonga na kuvaa miili ya binadamu maana Wana technology kubwa sana

Kwahiyo hapo pata picha ya upande wa pili wa shilingi utapata mambo mengi sana ambayo hutaambiwa popote zaidi ya wewe kutafuta source tu nabuunganishe dot.
Poa mkuu nimesoma upande wako wa pili... biblia kuhusisha lucifer na majini, uchawi nk kupo, kwa hiyo mijusi hainiridhishi kuwa ni Aliens. Kwa hiyo lucifer kujibadili kuwa mjusi kunawezekana kama alivojibadili kuwa nyoka akimtokea Hawa. Sumbawanga wanajua kumtumia mtu radi na labda hata hii mijusi wanaweza ila wao sio Aliens. Zamani mwanadamu aliabudu jua na vingi angani nahisi ndo chanzo cha wa stori za Sirius B nk manake wakati ule hata Jupiter na Saturn ilikuwa miungu - leo hii tunajua ni sayari tu. Nahisi watu wa zamani wakimuona mtu kavaa kofia la ajabu ama kinyago alizua kasheshe hata wengine kusema ni Alien.

Kwa upande wangu - kama stori ya mafuriko ilivo ndani ya jamii nyingi za dunia ya zamani kabla ya hizi jamii kukutana, ndivo ilivo stori ya majipande ya watu duniani... Youtube ina stori kadhaa za ufukuzi ardhini ukiibua mifupa ya watu warefu mno na mibichwa

Sijui umegundua waaumini wa upande wa stori za Aliens wameamua muonekano wa Alien ni huu hapo chini
1646269536110.png ...SASA kuna historia ya tabia ya waMisri wa enzi za mafarao za KUUMBA kichwa hivo kwa wanafalme tokea utoto. Ilikuwa ni alama ya heshima kama waMasai wanavotoboa masikio ama waMakonde kujichanja. Sayansi itakuambia mtoto mdogo ana fuvu laini hata tumboni akilala vibaya labda mfupani inaharibu mduara wa kichwa. waMisri walitumia sayansi hii kuchonga kofia ya kuumba muundo huu wa kichwa. Kumbuka Misri na hadithi za Aliens, utafikiri ilikuwa mji wa mkuu halafu kumbuka mzungu hadi leo hataki kukiri kuna mjengo mwafrika alijenga kumshinda hata wa leo - mapiramidi. Anapenda kueneza hadithi eti waMisri walisaidiwa na Aliens... Mbona majengo walioiga na kujenga Rome hawasemi hivo?

Bado sijashawishika kwamba hata hizi hadithi za Aliens ni hao malaika nk wakiongelewa na jamii tofauti kutegemeana na imani zao kama hadithi ya mafuriko ilivo - kija jamii ya kale inayo ila sababu zinatofautiana
 
View attachment 890436
Magofu ya Uwanja wa Baalbek, Lebanon

Nchini Lebanon, eneo la Baalbek, kuna magofu ya Uwanja mkubwa wa Ndege ambao wajenzi wake hawafhamiki. Hata hivyo, hudhaniwa kuwa, ni Uwanja uliokuwa ukitumiwa na Waanunnaki (Aliens) kutoka anga za mbali.
Ripoti zinaeleza kuwa, ujenzi wa Uwanja huo ulitumia vifaa vizito mno na ambavyo kwa teknolojia iliyopo leo hii duniani bado haipo. Msingi wa Uwanja huo umejengwa kwa matofali mazito ya hadi tani 1,600 kila tofali. Tofali kubwa kuliko yote lina urefu wa mita 20, upana mita 2 na kimo mita 2 pia.
Matofali hayo yamejengwa kwa kulazwa kama ulivyo ujenzi wa kuta za nyumba na pia misitari ya kila tofali imenyooshwa kiasi cha kustaajabisha wajenzi wa leo.

Gigantic Horizontally Lying Stones Of Ancient City Of Baalbek | Ancient Pages

Hii inaonyesha wazi kuwa kuna majamaa menzetu huko nje ya Solar System, yanaendelea na maisha yao huko yaliko.
Kukataa kufundisha masuala haya mashuleni labda nako kunachelewesha kuuhabarisha umma

View attachment 896978
View attachment 898628
Aisee,read this,👉"Kukataa kufundisha masuala haya mashuleni labda nako kunachelewesha kuuhabarisha umma." Really!Yaani tufundishe watoto wetu this non-sense,kama tulivyoingizwa mkenge kwenye Evolution!We will be fools.

Kwanza hakuna life anywhere else in the Universe,except on planet Earth,the Bible is very clear about this,hizi ni imani potofu.Second hakuna kitu kama Aliens,hao ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani na sasa wanahangaika kuwadanganya wanadamu kama wewe, ili waende nao Jehanam,to me they are simply Demons.Third,una-uhakika gani kwamba hayo matofali wametumia the so called Anunaki,which is in itself a false concept,na sio Wanefili au hata Humans.Please,please, stop misleading people,acheni kuwatenganisha wanadamu, na Mungu wao,you will pay dearly.Mtatumiwa na Shetani mpaka lini?
 
Hivi shida ni nini hapa kuhusiana na haya mambo wakati taarifa zote zipo youtube? Ni watu hawana muda tu wa kufuuatilia mambo kwa undani
 
Poa mkuu nimesoma upande wako wa pili... biblia kuhusisha lucifer na majini, uchawi nk kupo, kwa hiyo mijusi hainiridhishi kuwa ni Aliens. Kwa hiyo lucifer kujibadili kuwa mjusi kunawezekana kama alivojibadili kuwa nyoka akimtokea Hawa. Sumbawanga wanajua kumtumia mtu radi na labda hata hii mijusi wanaweza ila wao sio Aliens. Zamani mwanadamu aliabudu jua na vingi angani nahisi ndo chanzo cha wa stori za Sirius B nk manake wakati ule hata Jupiter na Saturn ilikuwa miungu - leo hii tunajua ni sayari tu. Nahisi watu wa zamani wakimuona mtu kavaa kofia la ajabu ama kinyago alizua kasheshe hata wengine kusema ni Alien.

Kwa upande wangu - kama stori ya mafuriko ilivo ndani ya jamii nyingi za dunia ya zamani kabla ya hizi jamii kukutana, ndivo ilivo stori ya majipande ya watu duniani... Youtube ina stori kadhaa za ufukuzi ardhini ukiibua mifupa ya watu warefu mno na mibichwa

Sijui umegundua waaumini wa upande wa stori za Aliens wameamua muonekano wa Alien ni huu hapo chini
View attachment 2136813...SASA kuna historia ya tabia ya waMisri wa enzi za mafarao za KUUMBA kichwa hivo kwa wanafalme tokea utoto. Ilikuwa ni alama ya heshima kama waMasai wanavotoboa masikio ama waMakonde kujichanja. Sayansi itakuambia mtoto mdogo ana fuvu laini hata tumboni akilala vibaya labda mfupani inaharibu mduara wa kichwa. waMisri walitumia sayansi hii kuchonga kofia ya kuumba muundo huu wa kichwa. Kumbuka Misri na hadithi za Aliens, utafikiri ilikuwa mji wa mkuu halafu kumbuka mzungu hadi leo hataki kukiri kuna mjengo mwafrika alijenga kumshinda hata wa leo - mapiramidi. Anapenda kueneza hadithi eti waMisri walisaidiwa na Aliens... Mbona majengo walioiga na kujenga Rome hawasemi hivo?

Bado sijashawishika kwamba hata hizi hadithi za Aliens ni hao malaika nk wakiongelewa na jamii tofauti kutegemeana na imani zao kama hadithi ya mafuriko ilivo - kija jamii ya kale inayo ila sababu zinatofautiana
Hivi unafananishaje pyramids zote Kuanzia za Giza mpaka Mesoamerica na majengo ya waroma?
Hivi unajua watafiti wameigundua Nini kwenye underground chambers za Pyramids Bunkers,
Mkuu Rudi kasome Tena kuhusu
Pyramids
Zile za Giza zimejengwa Pre human civilization Sasa Wamisri walipataje kujenga kitu ambacho na wao walikikuta kimesimama miaka maelfu nyuma Yao kama tuonavyo sisi Leo?

Hata Mimi zamani nilijua wazungu wanapotosha kuhusu Wamisri wa kale kutojenga Pyramids
Nilikuja kujua baadae Sana
Kama walijenga pyramids zinadumu mbona majengo Yao mengine na miji Yao ya kale imeshazikwa ardhini?

Unajua grand Zigurt of ur ya kule Iraq?
Inazijua zile Pyramids za Mexico na Peru ?

Miji mingi iliyojengwa accient civilization ilizama ardhini na kupotea kabisa lakini still Pyramids zimesimama Bila hata ufa unajua ni Nini Kile mpaka Leo kisurvive Kwa miaka zaidi ya
Laki Tano BCE?

Bado hujajua hii Dunia huwezi nidanganya kitu kwanza kipindi ambacho kizazi Cha kwanza Cha Pharos pale misri kinaanza kutawala walikuta Pyramids zimeshaexist miaka zaidi ya
5000 BCE nyuma Yao hata wao walizishangaa kama tunavyoshangaa Mimi na wewe na walipokua wanaingia ndani yake waliishia stage ya kwanza tu yaani sebuleni na kibalazani
Kitu walichofikiri ndio Mwisho wa Pyramid mpaka mwaka 1990's wanasayansi kuanza kutumia robots kutoboa Kuta Kwa teknolojia kubwa ndipo walipogundua kitu kisicho Cha kawaida
Kuna Underground bases za chini ambazo mpaka Leo wameshindwa kufungua codes na wanahangaika nazo ila
Walichokiona kwenye Queen chamber ni maandishi ya kale sana yasiyo na uhusiano na wamisri wa kale maana yenyewe ni ya kale zaidi yakionesha sign na formula za umeme mkali wa mionzi ambao binadamu wa Leo hatujapata kufikia hiyo teknolojia

Sasa KAZI ni Kwako kuichakata Akili Nani alijenga Electric power Plants kama sio Annunak
Umeme uliotumika kuwezesha uchimbaji wa Dhahabu hapo kale?

Umewahi ambiwa hayo au mpaka Leo unajua Pyramids ni Makaburi ya Pharaohs haya na zile za Mesoamerica Mexico ambazo ni kubwa mfano Pyramids of Cholula au Tlachihualtepetl ni kaburi la Pharao Gani?

Think twice Broo hii Dunia Ina Siri na mambo ya kustaajabisha kitu ambacho kama sio mtafuta maarifa utaambiwa
Na mchungaji wako Nabii Elijah mtshibi alienda mbinguni na gari la farasi na moto kumbe jamaa aliondoka na spaceship kwenda Nibiru planet X huko akiwaacha mambumbumbu wa Uyahudi wakijua katwaliwa na Mungu kama fikra zako za kawida kumbe ni ujinga wa zama za kale!

Grow up dude!
 
Umeharibu arguments zako ulipovamia mambo ya imani. Eti spaceship, acheni kumtukuza shetani na kujifanya hamtambui uwepo was Mungu. Elia alipaa na space ship gani?.

Acheni kumkufuru Mungu kwa kuleta stori za kufirika ambazo hazipo. Unajua umeme umezinduliwa lini?. Hizo space ship mbona haziji leo?. Hakuna Cha planet x Wala Annunak Bali mwanadamu aliumbwa na Mungu na alipewa mamlaka kuliko viumbe vyote. Achaneni na Mambo ya Annunak.
 
Pinga Kwa hoja Acha mipasho kamanda Mungu Gani alimuumba Binadamu au na wewe Umemezwa Kwenye Hekaya za Israelites kwamba Mungu alikuumba,
Unaweza unieleze Huyo Mungu ni nani mpaka amuumbe binadamu na Kwa malengo Gani?
Utabakia kizani daima walioasisi Dini na Imani ya kikristo na kukuletea Leo Nenda kawaone uone maoni Yao kuhusu nadharia ya Mungu kumuumba Binadamu,
Wanajua ni uongo wa muda mrefu na hakuna kiumbe anaitwa Mungu Wala Shetani

Vatican waasisi wa Biblia unatotumia kama kitabu Chako Cha reference walikitunga na kukichapa wao Kwa madhumuni Yao na wakakuweekeeni vitu wanavyopenda wao mvione na SI vinginevyo
Leo tukija na maandiko nje ya Kile mlichokaririshwa mnasema ni uongo wakati huo huo Kile walichokuleteeni wamekitoa Kwenye vyanzo tulivyosoma sisi na Kwa ujinga wenu mnaamini hawajakosea na ni maandiko matakatifu
Shame!

Narudia Tena hapa binadamu hajawahi umbwa na kiumbe anayeitwa Mungu Bali ni cloning project na human manipulation ya Annunak Ili awe kijakazi wa kuchimba dhahabu hapo kale hiki kitu kinafahamika mpaka na viongozi wako wakubwa wa Dini unayojinasibu ni ya Mungu wakati Mungu stands for master of game ambao kimsingi ni Annunak!

Wake up dude!
 
Back
Top Bottom