Ushahidi: Gendarmerie sio kibonde, Simba SC ijiandae haswa

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,672
2,000
New Picture.png


Achana na mastori ya Yanga kujipa moyo kwamba Gendarmerie ni kibonde. Unaweza kuona trend ya matokeo yao kule kwao ukapata picha.

Ushindi mkubwa wa Simba haumaanishi hii timu ni KIBONDE bali ni uwezo mkubwa wa Simba ambao mpaka serikali kupitia Waziri Mwakyembe wamekiri.

Simba ni timu itakayotisha mbaya kwenye CAF Confederation na tayari imeshaanza kuogopwa. Ukitizama matokeo ya jana, ni Simba ni kati ya VIGOGO WANNE tu barani Africa waliopata ushindi wa kuanzia goli nne ikiwepo APR, El Masry, Petro Atletiko na Simba yenyewe

Jopo la coach na wachezaji msije kujidanyanga kwamba Genda ni timu ndogo kibonde. Tunataka tuendelee na speed ile ile katika local na international games. Sisi ndio timu pekee tegemeo kuiwakilisha Tanzania kimataifa. Simba ni timu tegemeo
 

mshilakule

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
279
250
Kocha wa hao vibonde mwenyewe kaipongeza team yake kwa kupunguza idadi ya magoli 10 waliyozowea kufungwa kwenye mechi za kimataifa mpaka kufikia kufungwa 4 tu na simba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom