Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

Hili kolosenge kweli hili hiyo ratiba haieleweki isomeni hili jamaa ni sengerema aisee
Halafu Linasema walikuwa na options nne kwann wasichukue mamelod au Al ahily ni nn kimewasibu kuwaacha hao maana ndo walikuwa wanatamba wataleta hao. Matokeo yake wanaleta timu B ya TP Mazembe. Makolosenge FC bhana kweli ni mambumbu.
 
Tp Mazembe awawezi kuleta full squad kwenye mechi ya kirafiki katikati ya msimu ni mbumbumbu pekee watakapo amini ilo. Kitakacho fanyika nikuchukua wachezaji wa Timu ya pili na wale wasiopata nafasi kwenye timu ya Kwanza ili waje kucheza. Iyo inatokana na kuwa wamesha chukua fedha ya Bwanyenye.
Akina Ramadhan Singano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom