Ushagoo: Rain clouds over a farming village near Iringa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
395487_325747757447177_1693124098_n.jpg
 
MM hii picha ina kila dalili ya kutoka dukani-pichaduka
Ratio ya huyo jamaa na nyumba nyuma yake havikubaliani!
 
wangekuwa na nyumba nzuri sema wanaishia kunyoinywa kila uchao na madalali dhalimu
 
wangekuwa na nyumba nzuri sema wanaishia kunyoinywa kila uchao na madalali dhalimu


Lakini ukweli unabakia palepale kuwa hawa ni kundi la watu ambao hawajui stress za maisha ni kitu gani,na wanafurahia maisha pengine kutushinda hata sisi tuliojitahidi kuzikusanya na kuweza kuishi mijini.Na mara nyingi watu wanaoishi katika mazingira haya huwa na maisha marefu kuzidi wale waishio mijini..
 
umenikumbusha neno ushagoo,wakenya wameshirik kuaribu swahili yangu,rafik zangu wengi ni wakenya
 
maeneo ya nyanda za juu kusini magharibi mvua huwa inachapa mbaya...hii picha imenikumbusha ile mandhari ya vijiji vya Iringa kwenye barabara kuu ya kusini...
 
...isalavanu,nyololo,ihefu,ifwagi,wangong'ombe dahhhh...! mkoa naupenda sana huu
 
Back
Top Bottom