Ushabiki wa YANGA unanipotezea poz la Valentine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushabiki wa YANGA unanipotezea poz la Valentine

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Feb 13, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kusema kweli mi ni mshabiki wa Yanga, kwa hiyo naichukia Simba. Kutokana na hilo sijawahi kuvaa wala kumnunulia mpnz wangu nguo nyekundu. Tena huwa siko comfortable nikiambatana nae akiwa amevaa nguo nyekundu. Hivi hakuna rangi nyingine special kwa Valentine?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Vaeni damu ya mzee!
   
 3. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hiyo tai kwenye avatar yako rangi gani vile!?
   
 4. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaka hii nakuunga mkono tuko wengi. Kuna siku nililetewa zawadi na my wife rangi nyekundu ilibidi niseme asante lakini moyoni mwangu mmmhh..... huu upenzi mwingine balaa tupu. Hata tukienda kununua kitu hata kiwe kizuri so long as ni chekundu basi nitatafuta ujanja wa kudiscourage kionekane kibaya.
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Red ndo rangi ya valentine,ila kama huwezi full nyekundu,hata yenye element za nyekungu hutaki?mfano gauni yenye nyeupe na nyekundu? au basi gauni nyeusi na belt na viatu vyekundu??? nafikiri waweza mix up kama nyekundu full ndo yakukera!!!
   
 6. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwambie avae nguo ya black na kiatu cha chekundu au kibanio, atapendeza sana. Si lazima kuvaa red.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Pole, hakuna mbadala hapo red haikwepeki.
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Siku hizi valentine watu hawavai vitu vyekundu angalia movie ile ya valentines day iliyohusisha mastar kibao hakuna aliyevaa nguo nyekundu. Kwa hiyo we kesho jivalie suti yako na njano shati la kijani tai njno na viati njano wala hakuna neno.
   
Loading...